Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duh kweli TANZANIA NI YA VILAZA WA DV 5 yaani unatudanganya watu wazima mchana kweupe namna hii?ivi hujui kua JF kuna zaidi ya wasomi humu? eti nimepata B.B.C. Alafu una dv3 point 10?? yaan umemaliza form 6 ata kuhesabu hujui?? pole sana
Ufaulu wangu ni huu History=B, Kiswahili=B, Language=C , div 3 point 10, je ninaweza kupata chuo? Pia course ipi naweza kusoma mana sijajua hata nisome kitu gani.
Kuanzia E kupanda juu ni principal, kwahiyo D ni principal.D sio principle mkuu.
Hivi mtu akipata G/studies D, Phyisics D, Chemistry D, Biology B, BAM B amepata div. iii ya 13 na alikuwa anachukua PCB hii anaenda course gani?
Hivi we kijana ni mzima kweli? Usipende kukurupuka kama mvuta bangi.
Ufaulu wangu ni huu History=B, Kiswahili=B, Language=C , div 3 point 10, je ninaweza kupata chuo? Pia course ipi naweza kusoma mana sijajua hata nisome kitu gani.
Big result now hiyo D ndo F sema wameamua kutuchezesha akili zetu.....
Mkuu hapo anaenda diploma kwani principle inaanzia C,km anataka degree arudie mtihani