Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 2,603
- 7,501
Historia haituambii hivyo,Ndugu zangu.
1: Tukiachana na maswala ya kidini, historia inatuambia binadamu wa kwanza alikua ni nyani / sokwe /chipanze, sasa kama kweli binadamu tulikua ni manyani ni kwanini nyani / sokwe tunaowaona sasa hivi hawabadiliki kua binadamu na wala hawakatiki tena mikia na kua na mwili na utashi wa binadamu kama historia ilivyokua huko awali?
2: Je, kama kweli tulikua nyani na tukabadilika kua binadamu ni kwanini sahivi haiwezekani tena binadamu kubadikika na kurudia kua nyani kama wanasayansi wanavyodai?
Unailewa hata evolution theory ya Darwin??Hii ndio sababu inayoifanya ''Darwin's law of evolution'' kuwa incompetent na pia ''total nonsense''
Wamechoka kubadilikaNdugu zangu.
1: Tukiachana na maswala ya kidini, historia inatuambia binadamu wa kwanza alikua ni nyani / sokwe /chipanze, sasa kama kweli binadamu tulikua ni manyani ni kwanini nyani / sokwe tunaowaona sasa hivi hawabadiliki kua binadamu na wala hawakatiki tena mikia na kua na mwili na utashi wa binadamu kama historia ilivyokua huko awali?
2: Je, kama kweli tulikua nyani na tukabadilika kua binadamu ni kwanini sahivi haiwezekani tena binadamu kubadikika na kurudia kua nyani kama wanasayansi wanavyodai?
Evolution haisemi binadamu walikuwa au walitokana na nyani, kama kuna watu walifundishwa hivyo katika shule zao walipotoshwa na walimu, wanasayansi au mitaala mediocres.Ngoja walimu wa History waje washushe notes, kuhusu mabadiliko ya Nyani kuwa Binadamu
Human evolution is the evolutionary process within the history of primates that led to the emergence of Homo sapiens as a distinct species of the hominid family that includes all the great apes.[1] This process involved the gradual development of traits such as human bipedalism, dexterity, and complex language,[2] as well as interbreeding with other hominins (a tribe of the African hominid subfamily),[3] indicating that human evolution was not linear but weblike.[4][5][6][7] The study of the origins of humans involves several scientific disciplines, including physical and evolutionary anthropology, paleontology, and genetics; the field is also known by the terms anthropogeny, anthropogenesis, and anthropogony.[8][9] (The latter two terms are sometimes used to refer to the related subject of hominization.)Historia haituambii hivyo,
Evolution haisemi binadamu wa kwanza au waliomfuatia walikuwa nyani/sokwe/chimpanzee
Ndo maana hili somo, nilikuwa sijisumbui kabisa kulifuatilia.. MaanaEvolution haisemi nyani walikuwa binadamu, kama kuna watu walifundishwa hivyo katika shule zao walipotoshwa na walimu au mitaala mediocres.
Pigia mstari haya maneno.Human evolution is the evolutionary process within the history of primates that led to the emergence of Homo sapiens as a distinct species of the hominid family that includes all the great apes.[1] This process involved the gradual development of traits such as human bipedalism, dexterity, and complex language,[2] as well as interbreeding with other hominins (a tribe of the African hominid subfamily),[3] indicating that human evolution was not linear but weblike.
Nimepigia mstari ila kama babu yetu mkubwa kabla ya mageuzi ya binadamu alikua ni nyani ni vipi basi sisi tulibadilika na kua binadamu wenye utashi na kua na mwili tulio nao sasa na kwanini sahivi haiwezekani kurudia kwenye familia yetu ya asili ya manyani kama ilivyokuwepo mwanzoni na kwanini hawa nyani wa sahivi hawawezi kujigeuza kua binadamu?Pigia mstari haya maneno.
1.Hominid family
2.Great apes
3.Huma Evolution was not linear but weblike
Story ni ndefu sana, bila kuisoma kwa kutulia lazima ikuchanganye na uishe kusema wanasayansi wanasema binadamu walitokana na nyani/sokwe/chimpanze n.k wakati evolution, archeologists wala wanasayansi halisi hawasemi hivyo bali wanasema binadamu na jamii za sokwe ambao kwa pamoja wanajulikana kama(hominade/great apes) wamewahi kuwa na common ancestors mamilioni ya miaka huko nyuma.Ndo maana hili somo, nilikuwa sijisumbui kabisa kulifuatilia.. Maana
1. Lina mkanganyiko mkubwa sana... π π
2. Lilikuwa linamaliza peni haraka
3. Utitiri wa notes usio na kikimo.
Yoda ,ebu tupe short story Hii evaluation of man - ( women) ililenga nini zaidi? π€ π€
Kulingana na evolutionists babu yako wa mamilioni ya miaka iliyopita hakuwa nyani bali alikuwa "great apes".Nimepigia mstari ila kama babu yetu mkubwa kabla ya mageuzi ya binadamu alikua ni nyani ni vipi basi sisi tulibadilika na kua binadamu wenye utashi na kua na mwili tulio nao sasa na kwanini sahivi haiwezekani kurudia kwenye familia yetu ya manyani kama ilivyokuwepo mwanzoni?
Hizo nadharia feki huwa zinabuma tu kadri siku zinavyokwenda mbele. Ukweli ni ukweli siku zote lakini uongo utaonekana kweli kwa muda tu baadaye unaumbuka!Ndugu zangu.
1: Tukiachana na maswala ya kidini, historia inatuambia binadamu wa kwanza alikua ni nyani / sokwe /chipanze, sasa kama kweli binadamu tulikua ni manyani ni kwanini nyani / sokwe tunaowaona sasa hivi hawabadiliki kua binadamu na wala hawakatiki tena mikia na kua na mwili na utashi wa binadamu kama historia ilivyokua huko awali?
2: Je, kama kweli tulikua nyani na tukabadilika kua binadamu ni kwanini sahivi haiwezekani tena binadamu kubadikika na kurudia kua nyani kama wanasayansi wanavyodai?
Nyani wa sasa wanabadilika na kuwa kama binadamu, sema mabadiliko ni kidogo san itachukua miaka laki hadi milioni kuyaona.Hii ndio sababu inayoifanya ''Darwin's law of evolution'' kuwa incompetent na pia ''total nonsense''