Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 4,437
- 13,836
Shule gani hiyo walikufundisha hivyo? Ulichoandika hakina ukweli wowote, theory ya evolution haisemi binadamu alitokana na nyani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo mwanzo Mtu aliumba Mungu kwa mfano wake.Neno la Mungu katika bilblia ni zaidi ya evolution, kumbuka kitabu cha mwanzo kimeandikwa zaidi ya miaka 6000 iliyopita, je sayansi ulikiwa inasemaje wakati huo? Vituko
Hio evolution mnayoisifia mi ya Karne ya 20, je kabla ya hapo sayansi ilsemaje? Vituko,
Sayansi inabadilika kuithibotisha biblia!!
Biblia inasema Mungu alianza kuumba Jua, mwezi na nyota, baadae akayatenga majji na nchi kavu, Siku iliyofuata, akaumba mimea tofauti tofauti, Siku inayofuata akaumba samaki baharini, Siku inayofuata akaumba wanyama na ndege, mwishoni akamuumna mwanadamu.
Kumbuka neno Siku kwa kiebrania pia lilikiwa na maana ya "age".
Sasa ukiangalia huo mfuatano wa uumbaji evolution inasemaje!! Copy and paste!
Umekusudia kuandika "mtu aliumba Mungu kwa mfano wake" au ni makosa ya kiuandishi? Mungu aliumba mtu sio kinyume chake, hata Kama huamini la nukuu kwa usahihiHapo mwanzo Mtu aliumba Mungu kwa mfano wake.
Ndiyo maana yote ambayo yameandikwa kwenye biblia ni mambo ya kibinadamu.
Biblia ni kitabu ambacho kimetungwa na wanadamu tu kama mimi na wewe.
Kwahiyo wewe kama unaamini maandishi ya kwenye Biblia hiyo ni juu yako siko hapa kukufanya uache imani yako.
Chai za wazungu hizo
Chai zilezileHistoria ilisema kwamba binadam wa kwanza alitokea Africa Olduvai Gorge hivyo wazungu hawakupenda africa ndiyo iliyotoa binadamu wa kwanza hivyo wazungu wakasema Binadamu wa kwanza alikuwa nyani ili kuwavunja moyo waafrica.
Imani zote za kidini zimebuniwa na watu mkuu.Umekusudia kuandika "mtu aliumba Mungu kwa mfano wake" au ni makosa ya kiuandishi? Mungu aliumba mtu sio kinyume chake, hata Kama huamini la nukuu kwa usahihi
Evolution ni scientific theory ama scientific law??Evolution sio imani, ni scientific theory.
Sio suala la kuamini au kutokuoamini kama dini au mambo ya kidini.
Scientific law sio kwamba ndio kubwa kuliko scientific theory,Evolution ni scientific theory ama scientific law??
Unlike laws, theories zinawezakuwa challenged!
who are evolutionists?
Mimi naungana na Nyani Ngabu ,nashindwa kuelewa kwanini watu mnaichukulia hii as a complete thing na haiwezi kupingika wakati it's just a theory (speculations)
Mambo ya ipi kubwa yanakujaje tena shekhe?Scientific law sio kwamba ndio kubwa kuliko scientific theory,
Ukitaka ku challenge theory of relativity/general relativity ya Einstein inabidi uje nondo za kueleweka, sio porojo na feelings zako tu, ni hivyo pia kwa quantum mechanics theory.
Kuna kundi kubwa tu la watu duniani hawaamini dunia ni duara(spherical) na hai make sense kwao dunia kuwa duara badala ya flat, wanaitwa flat earthers.Mambo ya ipi kubwa yanakujaje tena shekhe?
Kila nikifikiria sioni kama hii theory inamake sense! Maybe My Biology is not enough to understand this. 🤷
They just chose to blindly argue the facts, personally I acknowledge kwamba uelewa wangu ni mdogo kwenye theory ya evolution na biological science hivyo siwezi kubisha nikiwa presented with scientific facts unlike them flat earthers. Infact even the laws of nature hazishabihi kama dunia ni flat lakini hawatakubali hiloKuna kundi kubwa tu la watu duniani hawaamini dunia ni duara(spherical) na hai make sense kwao dunia kuwa duara badala ya flat, wanaitwa flat earthers.
Ndugu zangu.
1: Tukiachana na maswala ya kidini, historia inatuambia binadamu wa kwanza alikua ni nyani / sokwe /chipanze, sasa kama kweli binadamu tulikua ni manyani ni kwanini nyani / sokwe tunaowaona sasa hivi hawabadiliki kua binadamu na wala hawakatiki tena mikia na kua na mwili na utashi wa binadamu kama historia ilivyokua huko awali?
2: Je, kama kweli tulikua nyani na tukabadilika kua binadamu ni kwanini sahivi haiwezekani tena binadamu kubadikika na kurudia kua nyani kama wanasayansi wanavyodai?