Kama nyie Simba ni Wanaume kweli basi fanyeni kama Tarehe 08 March 2025

Nakadi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
7,772
Reaction score
7,372
Nawapanga kabisa Makolo, kama kweli nyie ni Wanaume na mnajikubali basi mgomee na msuse kupeleka timu uwanjani huko Amani Abed karume (Stadium) Zanzibar kama mlivyofanya kwenye mechi ya Derby 08 March 2025.

Maana huku mmezoea kubebwa na mjomba wenu Karia kwa maamuzi yenu ya hovyohovyo na yasiyo ya msingi.
Basi msusie kupeleka timu mechi ya marudiano fainali shirikisho kwa kuwa mmefukuzwa kucheza BWM Stadium 🏟️
Makolo nyie
 
Mkuu,unahitaji dawa za kutibu kiseyeye?Unaletewa bure hadi nyumbani kwenu ikiambatanishwa na tisheti imeandikwa mgongoni ..."HATUCHEZI NG'OO"...!Wahi,mzigo umebaki kiduchu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…