changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Mechi ya leo ilikuwa ni muhimu kwa pande zote mbili, Yanga walikuwa wanataka kujiongezea gap lubwa dhidi ya mpinzani wake.
Simba wao waliingia kwa lengo la kutengua kauli ya Yanga kuwa unbeaten hivyo wao walitaka kuwa ndio timu ya kwanza kataka ligi kuu kumkata Yanga kauli ya unbeaten.
Lakini mbali na hilo ilikuwa ni mechi ya kupunguza gap baina yao ili kufufua matumaini ya mbio za ubingwa lakini mwisho wa siku wameshindwa kufanya hivyo na mwisho wa siku wamegawana point na kuifanya Yanga iendelee na wimbo wa unbeaten hivyo sijui Simba wameipa kazi timu ipi ikiwa wao wenyewe wameshindwa kufanya hivyo leo.
Tukija kwenye mechi yenyewe, ni mechi ambayo makipa wame relax sana hawakupata kashi kashi za maana ukiachana na header iliyookolewa na Diarra, sijajua ni tahadhari zimekuwa nyingi, au ndio mabeki na viungo wa tiku zote kutekeleza majukumu yao kwa ufasaha ama ndio mbinu na ufundi kwa makocha zimeshindwa kufanya ili kuweza kufungua lock za timu pinzanim