Kama nyie wenyewee mmeshindwa je nani awasaidie?

changaule

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2020
Posts
6,039
Reaction score
10,151
Mechi ya leo ilikuwa ni muhimu kwa pande zote mbili, Yanga walikuwa wanataka kujiongezea gap lubwa dhidi ya mpinzani wake.
Simba wao waliingia kwa lengo la kutengua kauli ya Yanga kuwa unbeaten hivyo wao walitaka kuwa ndio timu ya kwanza kataka ligi kuu kumkata Yanga kauli ya unbeaten.
Lakini mbali na hilo ilikuwa ni mechi ya kupunguza gap baina yao ili kufufua matumaini ya mbio za ubingwa lakini mwisho wa siku wameshindwa kufanya hivyo na mwisho wa siku wamegawana point na kuifanya Yanga iendelee na wimbo wa unbeaten hivyo sijui Simba wameipa kazi timu ipi ikiwa wao wenyewe wameshindwa kufanya hivyo leo.

Tukija kwenye mechi yenyewe, ni mechi ambayo makipa wame relax sana hawakupata kashi kashi za maana ukiachana na header iliyookolewa na Diarra, sijajua ni tahadhari zimekuwa nyingi, au ndio mabeki na viungo wa tiku zote kutekeleza majukumu yao kwa ufasaha ama ndio mbinu na ufundi kwa makocha zimeshindwa kufanya ili kuweza kufungua lock za timu pinzanim
 
Timu zenye upinzani mkubwa zilikuwa zikipata draw kwa Yanga, mashabiki wa Simba walikuwa wanasema ni bahasha za GSM, sasa leo leo watuambie nani kapokea hizo bahasha kwa upande wa Simba.
Simba inashindwa kumfunga Yanga ila anataka kazi hiyo ifanywe na timu nyingine.
 
Bora mfungo uishe haraka ili wachezaji wawajibike ipasavyo uwanjani.
Hapo unakosea mno...Mfungo hamzuii mchezaji kuwajibika, hivi unataka kusema wale wasio wajibika wakati mwingine usiokuwa wakati wa mfungo je?
 
Timu zenye upinzani mkubwa zilikuwa zikipata draw kwa Yanga, mashabiki wa Simba walikuwa wanasema ni bahasha za GSM, sasa leo leo watuambie nani kapokea hizo bahasha kwa upande wa Simba.
Simba inashindwa kumfunga Yanga ila anataka kazi hiyo ifanywe na timu nyingine.
Mashabiki wa simba ni wepesi kusema, halafu ni wepesi pia kwenye kusahau. Hivi usikute wameshasahau kama walishawahi kuwashutumu GSM na timu nyingine kuhongwa na Yanga!

Ila wao wanajitoa. Wamefungwa kwenye Ngao ya Jamii, kimya!! Ila akifungwa Geita Gold, basi kocha na wachezaji wamehongwa na GSM!
 
Back
Top Bottom