Kama pato lako ni chini ya milioni 3 jenga ghorofa la Kinyakyusa ukiwa na ndoto ya kujenga ghorofa kwa sasa!

Ujenzi wa sasa ni gharama.

Ukitaka ujenge haraka, jenga nyumba ndogo. Ili iishe haraka, uhamie.

Tumetembelea maeneo mengi. Nimeona, wengi waliojenga majumba makubwa, wameishia njiani.
Endapo una ndoto ya kujenga ghorofa na kipato chako NET ni chini ya milioni tatu kwa mwezi, sikushauri.

Ila kama una ona ni muhimu sana kujenga ghorofa, basi jenga ghorofa la 'nusu nyumba, nusu ghorofa'... maarufu kama 'ghorofa la kinyakyusa' kutokana na ujenzi wa aina hii kushamiri jijini Mbeya 😀😀😀

View attachment 2239310View attachment 2239311View attachment 2239313View attachment 2239314
Hawa ma Achtect ukisikia wqnakwambia nyumba ya gharama nafuu usiwaamini kabisa.

Kwa hiyo mjengo kama huo wa kinyachusa mwenye kipato less than 3M per month anaweza kujenga?
 
Ujenzi wa sasa ni gharama,

Ukitaka ujenge haraka, jenga nyumba ndogo. Ili iishe haraka, uhamie.

Tumetembelea maeneo mengi. Nimeona, wengi waliojenga majumba makubwa, wameishia njiani.

Endapo una ndoto ya kujenga ghorofa na kipato chako NET ni chini ya milioni tatu kwa mwezi, sikushauri.

Ila kama una ona ni muhimu sana kujenga ghorofa, basi jenga ghorofa la 'nusu nyumba, nusu ghorofa'... maarufu kama 'ghorofa la kinyakyusa' kutokana na ujenzi wa aina hii kushamiri jijini Mbeya 😀😀😀

View attachment 2239310View attachment 2239311View attachment 2239313View attachment 2239314
Kama hutojali ujenzi wa namna hii gharama zinapungua kwa kiasi gani just makadiro tu
 
Back
Top Bottom