Kuwaelewa mashabiki wa SIMBA yataka moyo sanaKuhusu Ujio wa Cedrick Kazelona.
Kuna maoni na mtazamo wa kiduwanzi sana baada ya kuona Prof Nabi anapata Msaidizi mwenye viwango vya juu kabisa vya CAF. Ni watu ambao juzi juzi tu kocha wao mkuu alipokea barua kutoka CAF kuwa anatakiwa kurudi MEMKWA akatafute cheti.
Cha kushangaza zaidi hawakuongea lolote wala kukosoa pale Patrick Phiri aliporudi klabuni kwao (2008) baada ya kufukuzwa mwaka (2005). Haikuishia hapo tu, alifukuzwa tena na akarudishwa tena mwaka (2011).
Phiri alirudi mara 2. Tena alirudi kuwa kocha mkuu.
Yanga SC leo wamemruidha Kazelona kuwa kocha msaidizi ikiwa kusudi kuu ni kuvunja utofauti wa lugha baina ya wacezaji na Prof NABI.
Yanga mbovu, hata aje Tuchel pale kazi bureKuhusu Ujio wa Cedrick Kazelona.
Kuna maoni na mtazamo wa kiduwanzi sana baada ya kuona Prof Nabi anapata Msaidizi mwenye viwango vya juu kabisa vya CAF. Ni watu ambao juzi juzi tu kocha wao mkuu alipokea barua kutoka CAF kuwa anatakiwa kurudi MEMKWA akatafute cheti.
Cha kushangaza zaidi hawakuongea lolote wala kukosoa pale Patrick Phiri aliporudi klabuni kwao (2008) baada ya kufukuzwa mwaka (2005). Haikuishia hapo tu, alifukuzwa tena na akarudishwa tena mwaka (2011).
Phiri alirudi mara 2. Tena alirudi kuwa kocha mkuu.
Yanga SC leo wamemruidha Kazelona kuwa kocha msaidizi ikiwa kusudi kuu ni kuvunja utofauti wa lugha baina ya wacezaji na Prof NABI.
Sawa shabiki wa chapa kilevi fc tushakuelewa kuwa kaze anarudi kama mkalimaniYanga SC leo wamemruidha Kazelona kuwa kocha msaidizi ikiwa kusudi kuu ni kuvunja utofauti wa lugha baina ya wacezaji na Prof NABI.
kuanzia tarehe 26 kaze ndiye kocha mkuu ila itabidi wampe miezi mitatu ya kupata muunganiko, kazi wanayo utopwinyokweli ukiwa utopolo akili zinahama hivi unaweza kulinganisha kurudi kwa Patrick Phiri na Kaze wakati Phili aliondoka kama kocha mkuu akarudi kwa cheo hichohicho wakati kaze aliondoka kama kocha mkuu anarudi kuwa msaidizi
Apake la akina IgweeePangusa vumbi la kongo huko usoni mwako!
Dah kweli utopolo ni genge la wahuni[emoji3][emoji3]Simba baada ya kumpiga As Vita nje ndani Uto wakasema As Vita ni timu mbovu.
basi bwana baada ya hapo msimu huu Uto wakabeba hao wachezaji wabovu wa As Vita waliopigwa na Simba nje ndani kujenga kikosi chao,sasa hapo unategemea miujiza gani kutoka kwa kocha?
Sasa wewe FALA kocha mwenye viwango vya juu ndio HANA HATA KOMBE? Acha UBWEGE. HIVYO VYETI BASI NI FEKI. I'LA KWA UJINGA WENU NA UZAMWAMWA WENU. Mnafurahia vyet FEKI za makocha wenu. AKILI HUNA INAWEZEKNAJE KWA UBORA HUO KIKOMBE ZEROOOOO. UTUMIE AKILI NGURUWE WEEEEKuhusu Ujio wa Cedrick Kazelona.
Kuna maoni na mtazamo wa kiduwanzi sana baada ya kuona Prof Nabi anapata Msaidizi mwenye viwango vya juu kabisa vya CAF. Ni watu ambao juzi juzi tu kocha wao mkuu alipokea barua kutoka CAF kuwa anatakiwa kurudi MEMKWA akatafute cheti.
Cha kushangaza zaidi hawakuongea lolote wala kukosoa pale Patrick Phiri aliporudi klabuni kwao (2008) baada ya kufukuzwa mwaka (2005). Haikuishia hapo tu, alifukuzwa tena na akarudishwa tena mwaka (2011).
Phiri alirudi mara 2. Tena alirudi kuwa kocha mkuu.
Yanga SC leo wamemruidha Kazelona kuwa kocha msaidizi ikiwa kusudi kuu ni kuvunja utofauti wa lugha baina ya wacezaji na Prof NABI.
Usipoteze mda na Makolo ndugu...wengi wao wale ni vichwa mma.Kuhusu Ujio wa Cedrick Kazelona.
Kuna maoni na mtazamo wa kiduwanzi sana baada ya kuona Prof Nabi anapata Msaidizi mwenye viwango vya juu kabisa vya CAF. Ni watu ambao juzi juzi tu kocha wao mkuu alipokea barua kutoka CAF kuwa anatakiwa kurudi MEMKWA akatafute cheti.
Cha kushangaza zaidi hawakuongea lolote wala kukosoa pale Patrick Phiri aliporudi klabuni kwao (2008) baada ya kufukuzwa mwaka (2005). Haikuishia hapo tu, alifukuzwa tena na akarudishwa tena mwaka (2011).
Phiri alirudi mara 2. Tena alirudi kuwa kocha mkuu.
Yanga SC leo wamemruidha Kazelona kuwa kocha msaidizi ikiwa kusudi kuu ni kuvunja utofauti wa lugha baina ya wacezaji na Prof NABI.
Huwezi kuwaelewa kama hujielewiKuwaelewa mashabiki wa SIMBA yataka moyo sana