Nyonzo bin mvule JF-Expert Member Joined Sep 19, 2020 Posts 2,428 Reaction score 6,929 Sep 23, 2021 #21 man dunga said: Ni hivi msimu ujao hautaisha bila kumrudisha Mkwasa, utopolo ni ya kienyeji. Click to expand... Na kama sio mkwasa basi mwambusi wala sio uongo
man dunga said: Ni hivi msimu ujao hautaisha bila kumrudisha Mkwasa, utopolo ni ya kienyeji. Click to expand... Na kama sio mkwasa basi mwambusi wala sio uongo
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 Sep 23, 2021 #22 PTER said: Huwezi kuwaelewa kama hujielewi Click to expand... Pole sana kwasukwasu mkia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sent from my SM-J720F using JamiiForums mobile app
PTER said: Huwezi kuwaelewa kama hujielewi Click to expand... Pole sana kwasukwasu mkia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sent from my SM-J720F using JamiiForums mobile app
mwanateknolojia JF-Expert Member Joined Nov 17, 2014 Posts 1,026 Reaction score 1,749 Sep 25, 2021 #23 demigod said: Thienry HITIMANA amesajili wangapi? Click to expand... Ko wewe wafuata mkumo wa Simba! Kwanza Simba ado wanna mashindano ya kimataifa Yanga ishatupwa nje hiyp Dazani ya mkocha wa kimataifa ya kazi gani? Ligi kuu Tu? Kombe la Mapinduzi? Au kombe la Azam? Hayo ni matumizi mabovu ya rasilimali!
demigod said: Thienry HITIMANA amesajili wangapi? Click to expand... Ko wewe wafuata mkumo wa Simba! Kwanza Simba ado wanna mashindano ya kimataifa Yanga ishatupwa nje hiyp Dazani ya mkocha wa kimataifa ya kazi gani? Ligi kuu Tu? Kombe la Mapinduzi? Au kombe la Azam? Hayo ni matumizi mabovu ya rasilimali!