RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,788
- 4,401
Jeshi la Polisi kazi yao kubwa ni kulinda raia na mali zao, juzi imetokea sintofahamu ya pesa zao wenyewe kuibiana wao kwa wao ambapo kiasi cha tsh bilion 4.8 zimeliwa na watu wanaojiita wakubwa kwa kuwa wanamsemo usemao mkubwa ndiye mwenye akili, je hata pesa ya askari wa chini mwenye cheo cha chini nayo ikiliwa haitakiwi ahoji?
Wezi walioiba pesa hizo wanafahamika na wanajulikana je mkurugenzi wa upelelezi anahitaji ushahidi gani angali nyaraka zote zipo ofisi ya jeshi hilo?
Kuna taarifa inasambaa ikisema mwizi aliyenufaika na mfuko huo alikimbia yupo afrika kusini je kitengo cha interpol kipo kwa ajiri ya nini?
Wezi wa pesa hizo baadhi yao wapo na bado ni watumishi wa jeshi la polisi mheshimiwa raisi taifisha mali zao fesha za askari ndizo zimefanya uwekezaji wa miradi yao nyumba pamoja na magari kama huyo anayesemwa alikimbilia south afrika ana magari 20 kulings na taarifa ya mtumishi wa jeshi hilo yapo cetral polisi hapo jijini daresalaam. na huyo ni mbuzi wa kafala, lakini inasemekana kwamba yupo kiongozi wa juu kabisa baada ya kufiwa na mama yake alijichotea kiasi cha milion 50 ambapo ilitakiwa apewe tsh milion moja tu kama askari wengine wanaochangia tsh 5000 kwa kila mwezi. na pesa hizo hazikurudishwa hadi sasa.
Ni muda mwafaka sasa Raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania Dr. Samia suluhu hassani kushinikiza viongozi wa chini yake waliopo jeshi la polisi hasa IGP WAMBURA kuvunja mfuko huo maana mfuko huo siyo salaama tena kwa ajiri ya maafa, mfuko huo umekuwa wa kikundi cha wakubwa wanachota pesa za akari na kuweka sheria kandamizi hadi kupelekea baadhi ya askari kushindwa kupata pesa hizo wanapopata matatizo.
Mheshimiwa raisi usidanganywe kuwa kesi ipo mahakamani hiyo ningeresha tu hakuna litakalofanyika nikutaka kukuridhisha kuwa hatua zimechukuliwa, kinachotakiwa ni kuvunja huo mfuko ambao umekuwa siyo salama tena.
Jeshi la polisi ni wakati wa kujitadhimini kama mnaibiana nyie kwa nyie je raia wakaida ataliaminije jeshi hilo kwa matukio kama hayo?
MWISHO NAWATAKIA MFUNGO MWEMA WA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI.