Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Nadhani Askofu Gwajima aliiweka wazi hii,ndio Wazalendo namba Moja nchini .
Kuna MTU aliandika humu, kua Wazalendo wetu Kwa Mujibu wa Katiba wanataka mtu ambaye ni Mzalendo pia kwenye Kiti atakyelinda Rasilimali za Nchi na Maisha ya Watu Kwa Wivu mkubwa.
Naam Kwa Nguvu za watekaji, mbinu zao wanazotumia, Kama kweli Polepole yupo Nchini basi yupo Ndani ya Kambi Moja ya Wazalendo .
Jukumu la Watekaji ni Kumfata huko !!!.
Nasimama na Polepole Kwa Moyo ,Akili na Nguvu zangu zote.