Kama Polisi wameweza kuua na kupora, kwanini tukio la Hamza lisichunguzwe upya?

Kama Polisi wameweza kuua na kupora, kwanini tukio la Hamza lisichunguzwe upya?

Mzee nazi

Senior Member
Joined
Dec 10, 2018
Posts
121
Reaction score
173
Ndugu wadau, kama kweli jeshi letu la polisi limefanya mambo haya, ninashauri iundwe tume ilichunguze hili jeshi.

Na pia hata like la Hamza lilikuwa na mtazamo kama huu, pia lingerudishwa lichunguzwe upya
IMG_20220125_194325.jpg
 
Hiii nchi hii taasisi za umma zimegeuka za kiporaji badala ya kulinda raia na mali zao
 
Tatizo adhabu za mauaji zimekuwa legelege kuluko za ubakaji na ulawiti.Nichukue fursa hii kushauri mamlaka ya rais kusaini hati za wanaohitajika kunyongwa ili iwe fundisho kwa wengine.Adhabu ya kunyonga wauaji itekelezwe kwa wauaji wasio na shaka mfano hawa polisi daah kwa kweli hadi nimeogopa kivipi tunaowategemea wakawe wauaji..?pia niishauri serikali kuanzisha kitengo cha upelelezi kiwe tofauti na jeshi la polisi kwani kwa hivi sasa hao polisi majambazi wanapelelezwa na polisi sasa hii ni sintofahamu itatokea rejea ajali ya magari ya polisi na roli kule Tanga
 
Kitendo cha POLISI kumkamata MCHIMBA MADINI wa MTWARA na Kumpora Mil.33 na Kisha KUMUUA napata Picha kuwa HAMZA tukiyeambiwa na IGP SIRRO kuwa ni GAIDI hakuwa GAIDI bali Alikuwa ANADAI PESA alizozulumiwa na POLISI
Tofauti ya HAMZA na huyo Mchimba Madini Wa Mtwara ni Kwamba HAMZA Aliamua kupambana kwa SILAHA kudai PESA zake.
SERIKALI Ifike Sehemu Ilivunje JESHI la POLISI na KUIBADILISHA Muondo Wake kwani kuwa na POLICE FORCE ni HATARI SANA
kwa UHAI na MALI za WANANCHI Tunataka tuwe na POLICE SERVICE tumechoka KUUAWA,KUBAMBIKIZIWA KESI,KUPORWA MALI ZETU na POLISI

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom