Kama Polisi wameweza kuua na kupora, kwanini tukio la Hamza lisichunguzwe upya?

Kama Polisi wameweza kuua na kupora, kwanini tukio la Hamza lisichunguzwe upya?

Kama historia inajirudia tu ,siunakumbuka wale wafanyabiashara ya madini kule Moro walouwawa na kina zombe
 
Kama historia inajirudia tu ,siunakumbuka wale wafanyabiashara ya madini kule Moro walouwawa na kina zombe
 
MGANGA mchana usiku ugeuka MCHAWI
POLISI mchana usiku ugeuka JAMBAZI
 
Kama historia inajirudia tu ,siunakumbuka wale wafanyabiashara ya madini kule Moro walouwawa na kina zombe
Huu ni uozo wa muda mrefu, uchunguzwe tangu lilipoanza kuchafuka na wachukuliwe hatua
 
Kungekuwa na utaratibu w a kuwaanda watumishi wa kama hizo toka wakiwa wadogo Nathaniel tusingekuwa na mijitu mikatili na yenye tamaa kama hayo
 
Ni hatari sana harafu unakuja kuambiwa na polisi hao hao eti mwingine kajinyonga na dekio yaani wanatuona mazombi kweli..uuaji uuaji kila kukicha Rais angalia huko pana madudu kuliko sehemu yeyote..
 
Back
Top Bottom