tajirijasiri
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 2,863
- 3,854
Ulishawahi kuona fujo za ndondo cup Mkuu? Au wewe haujawahi kwenda huko?lakn si ameongelea tu kwamba bora kuenda kuangalia ndondo cup.mm sijaona kosa hapo kiongozi
Sasa zaidi ya vijembe kwa Wang'oa Viti, katoa uelekeo gani wa soka la Tanzania?Nadhani nia ilikuwa kuonyesha kwamba anajua kitu kinaendelea kwenye burudani na michezo. Anajua habari za fiesta na ndondo cup.
watu wengine akili zenu sijui zikoje aisee, ila kuna kamsemo mtukufu rais alikasema "kuna watu hata ukitembea kwenye maji watasema unawatimulia vumbi" ndio kama wewe.Rais kasikika leo akijitapa kushabikia ndondo Cup kuliko ligi kuu kwa kigezo cha wang'oa Viti, basi Tanzania kushiriki kombe la Dunia itakuwa ndoto.
Haiwezakani Kiongozi Mkuu ukalialia matatizo badala ya kutoa mwongozo wa nini cha kufanya.
Rais ndiyo atoe uelekeo?Sasa zaidi ya vijembe kwa Wang'oa Viti, katoa uelekeo gani wa soka la Tanzania?
Kuna mtu aliyemuuliza kuhusu muelekeo wa soka la Tanzania leo? Unataka atoe mulekeo kwani alikuwa anatoa hotuba ya michezo leo. Ungewalaumu waandishi waliotakiwa kuuliza maswali wakashindwa kumuuliza kuhusu soka mpaka akaingizia mwenyewe maswala ya fiesta na ndondo.Sasa zaidi ya vijembe kwa Wang'oa Viti, katoa uelekeo gani wa soka la Tanzania?