Pre GE2025 Kama Rais Samia ameufanyia hivi mti mbichi; Je, itakuwaje kwako Mti Mkavu?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tukumbushane, aliyewafukuza maasai ngorongoro Ili waje waarabu ni nani?
 
Ushauri wa Bure kwa Waajiriwa wote wa Serikali hasa wale wa Vimemo vya Uteuzi kutoka Kurugenzi ya IKULU kuweni makini zaidi pengine kuliko awamu yoyote ya Uteuzi wenu.

Huenda Rais Dkt Samia Suluhu amegundua wanaomuagusha na kumfelisha kwa kumuibia na kumfisadi zaidi ni watu wake wa karibu (miti mibichi )

Wakati huu tumeshuhudia Mama Samia akitengua vigogo wa karibu yake kabisa ambao wengi wao walifanya sherehe baada ya Kifo Cha Hayati Dkt John John Pombe Joseph Magufuli na Uapisho wake.

Rai yangu kwa mliobaki hasa mliokuwa mnamchezea mama kwa mizaha na kejeli kwenye idara zenu ongezeni umakini kwani Mama kwa sasa ni kama mbogo aliyejeruhiwa na simba

Mbaya zaidi ninyi msio na ukaribu kabisa na Mama Samia mjiulize kama Mama huyu ameutendea mti mbichi ( January na Nape ) namna hii, itakuwaje kwenu kama mtafanya kazi kwa mazoea hasa wizi na ufisadi?

#Mama hakamatiki na sasa kafungua injini mpya stay tuned
Kweli tupu
 
Sawa mkuu.
 
Hapana !

Wanamchezea na kumchosha tu!hasta hao aliowateua hawatodumu kwenye nafasi zao!!

Aidha taarifa anazo pata ni wrong Kwa malengo fulani au ni za kweli ili aendelee kukosa wa kumuamini kabisa yaani Kila mmoja amuone haaminiki na imani ni nguzo kuu katika utumishi!!

Kifupi anaendelea kuchezewa akili na system asimwamini yeyote kuelekea uchaguzi mkuu !labda ateue wazanzibari woote Kila nafasi na bado wengine watacheza ngoma ya system!!

Kifupi sijui kama analala usingizi huyu Mama!
 
Back
Top Bottom