Bila kufanya haya. Mizimu ya Magufuli itakupata Mama nakupa ovyo tu. Tusije kulalama hapa tenda haki uondoke na heshima yako
1. Kutoa hotuba ya kitaifa kwa hali halisi ya taifa
2. Kuomba Msamaha kwenye hotoba hiyo kwa Kenya na Uganda kwa wanaharakati na nchi zao kwa ujumla wake
3. Kesi ya Lissu kufutwa
4. Makubaliano mapya kuhusu Tume huru na chaguzi huru
5. Tanzania badala ya kupoteza pesa zake nyingi kwenye chaguzi ikubali waangalizi wa kimataifa na kuchukuwa pesa za wadhamini. Kama kusema watasema tu tena wanasema zaidi. Hakuna siri zaidi ya chaguzi huru
6. Kemea mauaji na utekaji wa watanzania na omba msamaha kwa wote waliotekwa
7. Ondoa watu wa tume ambao wanatumika kisiasa hata wale wanaofungua kesi za uongo maana kila mtu anajua kesi wanazofungulia chadema sio za kweli na ni aibu kwako.
8 Usikofanya hivi majanga yatatokea na huyo mchungaji ambaye unamwita shetani atachukuwa nafasi yako