Kama rais Samia angekuomba ushauri, ni mawaziri na wakuu wa mikoa gani ungemshauri apige chini na ukiweza, kwanini?

Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
7,672
Reaction score
9,039
Japo uzi huu unaweza kutafsirika vibaya kama uchokozi, unalenga katuma taarifa kwa wakubwa wetu juu ya wateule wao.

Unalenga kuwaonyesha tunavyowatathmini hata kuwaelewa. tupate fursa ya kuwakosoa na kuwatathmini watumishi wetu wa umma.

Naomba kuwasilisha baba yenu nyote.
 
Waziri wa Mambo ya ndani na Mkuu wa mkoa wa Dar na Arusha kutokana na kuuwawa na kupotea kwa Wananchi haswa kutoka Upinzani.
 
Yule mkuu wa mkoa wa Arusha hapaswi kuwepo kitini
 
Doto Biteko, waziri wa Nishati, Madini na Naibu Waziri Mkuu. Huyu pamoja na Management nzima ya TANESCO tangu jana walivyotangaza nia ya kununua umeme wa bei rahisi kutoka Ethiopia kupitia Kenya kisha tuwauzie Kenya umeme....Wanapaswa kuachia ngazi kupisha wanaoweza ambao wako wengi tu mitaani. 😡
 
Ningemshauri,biashara ya kununua umeme kutoka Ethiopia,aelekeze aupeleke Pemba na Unguja!
 
Japo uzi huu unaweza kutafsirika vibaya kama uchokozi, unalenga katuma taarifa kwa wakubwa wetu juu ya wateule wao.

Unalenga kuwaonyesha tunavyowatathmini hata kuwaelewa. tupate fursa ya kuwakosoa na kuwatathmini watumishi wetu wa umma.

Naomba kuwasilisha baba yenu nyote.

Tatizo mawaziri/nw/katibu/n/katibu ,rc.dc,ras/ras wote hawana meno ,wapo wapo tu wala hawana impact.

Kila kitu ili kifanyike lazima Prezident aamue ,hao ni magarasa tu.
 
Doto Biteko, waziri wa Nishati, Madini na Naibu Waziri Mkuu. Huyu pamoja na Management nzima ya TANESCO tangu jana walivyotangaza nia ya kununua umeme wa bei rahisi kutoka Ethiopia kupitia Kenya kisha tuwauzie Kenya umeme....Wanapaswa kuachia ngazi kupisha wanaoweza ambao wako wengi tu mitaani. 😡
China wangepigwa RISAS....I adharani
 
Japo uzi huu unaweza kutafsirika vibaya kama uchokozi, unalenga katuma taarifa kwa wakubwa wetu juu ya wateule wao.

Unalenga kuwaonyesha tunavyowatathmini hata kuwaelewa. tupate fursa ya kuwakosoa na kuwatathmini watumishi wetu wa umma.

Naomba kuwasilisha baba yenu nyote.
RC aliyepokea tuzo ya uchekeshaji
 
Japo uzi huu unaweza kutafsirika vibaya kama uchokozi, unalenga katuma taarifa kwa wakubwa wetu juu ya wateule wao.

Unalenga kuwaonyesha tunavyowatathmini hata kuwaelewa. tupate fursa ya kuwakosoa na kuwatathmini watumishi wetu wa umma.

Naomba kuwasilisha baba yenu nyote.
Ningemshauri aachane na mambo ya urais kiatu hakimtoshi na hajui anafanya nini yupo yupo tu bora imekuwa asubuhi ikawa jioni. Ajipige chini yeye kwanza na hapo atakuwa ametupunguzia angalau 90% ya matatizo tuliyonayo kama taifa
 
Japo uzi huu unaweza kutafsirika vibaya kama uchokozi, unalenga katuma taarifa kwa wakubwa wetu juu ya wateule wao.

Unalenga kuwaonyesha tunavyowatathmini hata kuwaelewa. tupate fursa ya kuwakosoa na kuwatathmini watumishi wetu wa umma.

Naomba kuwasilisha baba yenu nyote.
Wote,kwani wao wanategemea uchawa kama chama na chawa wa chama Chawala walivozoeshana,hakuna chamaana kinachofanya kwa ubunifu zaidi ya show off na chagizo za chawa kwa manufaa yaliyolengwa.
 
Japo uzi huu unaweza kutafsirika vibaya kama uchokozi, unalenga katuma taarifa kwa wakubwa wetu juu ya wateule wao.

Unalenga kuwaonyesha tunavyowatathmini hata kuwaelewa. tupate fursa ya kuwakosoa na kuwatathmini watumishi wetu wa umma.

Naomba kuwasilisha baba yenu nyote.
Huu ni uzi wa wanaccm ama machawa, maana hao ndio wanaweza kupatiwa hivyo vyeo.
 
Kwakuwa mteuzi wa hao mawaziri mizigo ni yeye mwenyswe, basi anayepaswa kutupisha bila shaka ni yeye pia!
Tuanzie kwenye shina, matawi sio ishu!
 
Back
Top Bottom