Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Japo uzi huu unaweza kutafsirika vibaya kama uchokozi, unalenga katuma taarifa kwa wakubwa wetu juu ya wateule wao.
Unalenga kuwaonyesha tunavyowatathmini hata kuwaelewa. tupate fursa ya kuwakosoa na kuwatathmini watumishi wetu wa umma.
Naomba kuwasilisha baba yenu nyote.
China wangepigwa RISAS....I adharaniDoto Biteko, waziri wa Nishati, Madini na Naibu Waziri Mkuu. Huyu pamoja na Management nzima ya TANESCO tangu jana walivyotangaza nia ya kununua umeme wa bei rahisi kutoka Ethiopia kupitia Kenya kisha tuwauzie Kenya umeme....Wanapaswa kuachia ngazi kupisha wanaoweza ambao wako wengi tu mitaani. 😡
RC aliyepokea tuzo ya uchekeshajiJapo uzi huu unaweza kutafsirika vibaya kama uchokozi, unalenga katuma taarifa kwa wakubwa wetu juu ya wateule wao.
Unalenga kuwaonyesha tunavyowatathmini hata kuwaelewa. tupate fursa ya kuwakosoa na kuwatathmini watumishi wetu wa umma.
Naomba kuwasilisha baba yenu nyote.
Ningemshauri aachane na mambo ya urais kiatu hakimtoshi na hajui anafanya nini yupo yupo tu bora imekuwa asubuhi ikawa jioni. Ajipige chini yeye kwanza na hapo atakuwa ametupunguzia angalau 90% ya matatizo tuliyonayo kama taifaJapo uzi huu unaweza kutafsirika vibaya kama uchokozi, unalenga katuma taarifa kwa wakubwa wetu juu ya wateule wao.
Unalenga kuwaonyesha tunavyowatathmini hata kuwaelewa. tupate fursa ya kuwakosoa na kuwatathmini watumishi wetu wa umma.
Naomba kuwasilisha baba yenu nyote.
Wote,kwani wao wanategemea uchawa kama chama na chawa wa chama Chawala walivozoeshana,hakuna chamaana kinachofanya kwa ubunifu zaidi ya show off na chagizo za chawa kwa manufaa yaliyolengwa.Japo uzi huu unaweza kutafsirika vibaya kama uchokozi, unalenga katuma taarifa kwa wakubwa wetu juu ya wateule wao.
Unalenga kuwaonyesha tunavyowatathmini hata kuwaelewa. tupate fursa ya kuwakosoa na kuwatathmini watumishi wetu wa umma.
Naomba kuwasilisha baba yenu nyote.
Huu ni uzi wa wanaccm ama machawa, maana hao ndio wanaweza kupatiwa hivyo vyeo.Japo uzi huu unaweza kutafsirika vibaya kama uchokozi, unalenga katuma taarifa kwa wakubwa wetu juu ya wateule wao.
Unalenga kuwaonyesha tunavyowatathmini hata kuwaelewa. tupate fursa ya kuwakosoa na kuwatathmini watumishi wetu wa umma.
Naomba kuwasilisha baba yenu nyote.