Dalton Elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 968
- 1,978
Nchi ya mapambio kwa mama๐คฃ๐คฃKwa sasa nchini Tanzania tunaambiwa kuwa Raisi samia Suluhu anatoa fedha zote za maendeleo na kila kitu kinacho endelea nchini nzima nashauri wananchi wasitoe kodi yoyote maana Raisi samia ana hela za kutoa na wala sio kodi za wananchi .
Kama miradi yote nchi nzima fedha anatoa raisi samia Suluhu hassan basi kuna haja wananchi na wafanyabiashara kuacha kulipa kodi alafu tuangalie ni kwa namna gani raisi samia atakuwa anatoa fedha katika kuendesha serikali nchini Tanzania .
Maana kila mwanasiasa anaye simama jukwaani anasema fedha ametoa raisi samia Suluhu katika utekelezaji wa miradi nchini lakini ukiangalia uhalisia ulivyo kwani kodi huchangiwa na wananchi ,watumishi na wafanyabiashara
Wananchi wamechoka kutao kodi alafu anakuja kusifiwa kwa kila kitu ambacho kinaendelea nchini Tanzania.
Sababu tumekubali kuongozwa na majangili ya mali za ummaNchi ya mapambio kwa mama๐คฃ๐คฃ
๐๐ก๐ฎ๐ค๐ก๐ฎ๐ซ๐๐ง๐ข,๐ญ๐ฎ๐ญ๐๐ณ๐ข๐ง๐ ๐๐ญ๐ข๐ ๐ก๐ข๐ฅ๐จKwa sasa nchini Tanzania tunaambiwa kuwa Raisi samia Suluhu anatoa fedha zote za maendeleo na kila kitu kinacho endelea nchini nzima nashauri wananchi wasitoe kodi yoyote maana Raisi samia ana hela za kutoa na wala sio kodi za wananchi .
Kama miradi yote nchi nzima fedha anatoa raisi samia Suluhu hassan basi kuna haja wananchi na wafanyabiashara kuacha kulipa kodi alafu tuangalie ni kwa namna gani raisi samia atakuwa anatoa fedha katika kuendesha serikali nchini Tanzania .
Maana kila mwanasiasa anaye simama jukwaani anasema fedha ametoa raisi samia Suluhu katika utekelezaji wa miradi nchini lakini ukiangalia uhalisia ulivyo kwani kodi huchangiwa na wananchi ,watumishi na wafanyabiashara
Wananchi wamechoka kutao kodi alafu anakuja kusifiwa kwa kila kitu ambacho kinaendelea nchini Tanzania.
Mkuu utaumiza kichwa bure.Kwa sasa nchini Tanzania tunaambiwa kuwa Raisi samia Suluhu anatoa fedha zote za maendeleo na kila kitu kinacho endelea nchini nzima nashauri wananchi wasitoe kodi yoyote maana Raisi samia ana hela za kutoa na wala sio kodi za wananchi .