Kama Rais wa FIFA Infantino aliipongeza Yanga FC kupitia Malinzi mbona bado hajampa pole Malinzi?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Je kuna Mtu yoyote labda tokea Rais wa TFF Jamal Emil Malinzi alipokamatwa na hadi kupelekwa ' Segadansi ' mpaka muda huu ameona ' Tweet ' yoyote kutoka kwa Rais wa FIFA Infantino kumpa pole ' Swahiba ' wake Malinzi kama ambavyo Rais huyo wa FIFA alifanya hivyo haraka sana kupitia kwa Malinzi kuipongeza Klabu ya Yanga FC kwa ' kutwaa ' tena Ubingwa wa VPL?

Rais wa FIFA Infantino anachelewa nini mpaka sasa ku ' tweet ' kumpa pole ' Swahiba ' wake wa ' Kutukuka ' Rais wa TFF Jamal E. Malinzi?

Nawasilisha.
 
Delegation ya fifa inatua kesho hapo Dar.
Malinzi alimpigia kura infantino, so tusubri sarakasi....ndo kwanza picha limeanza
 
FIFA washatuma watu wao kuja kuona nini kimetokea!
 
Mchezo uliochezwa hata huo ujumbe wa Rais wa FIFA Infantino ukitua tu ' Bongo ' utaeleweshwa vile vile ' Kimafia ' na utarudi Zurich kumtaarifu Infantino na Yeye pia atabariki kilichofanyika. Mkuu nikusaidie tu kwamba ' mbinu ' iliyotumika hapo ni ' Kali ' na Watu wanajua wanafanya nini na tayari ' lengo ' limetimia na sasa ni muda tu unasuburiwa ' Vipenzi ' vya ' System ' ya Tanzania Ally Mayai Tembele na Mzee Mtemi Ramadhan wakabidhiwe rasmi zile Ofisi za TFF pale Karume Ilala ili ' mpira ' urudi kwa wenye mpira wao.
 
Je kuna Mtu yoyote labda tokea Rais wa TFF Jamal Emil Malinzi alipokamatwa na hadi kupelekwa ' Segadansi ' mpaka muda huu ameona ' Tweet ' yoyote kutoka kwa Rais wa FIFA Infantino kumpa pole ' Swahiba ' wake Malinzi kama ambavyo Rais huyo wa FIFA alifanya hivyo haraka sana kupitia kwa Malinzi kuipongeza Klabu ya Yanga FC kwa ' kutwaa ' tena Ubingwa wa VPL?

Rais wa FIFA Infantino anachelewa nini mpaka sasa ku ' tweet ' kumpa pole ' Swahiba ' wake wa ' Kutukuka ' Rais wa TFF Jamal E. Malinzi?

Nawasilisha.

Nawewe ulituaminisha Simba imeshinda rufaa ya FIFA hapa
 
FIFA washatuma watu wao kuja kuona nini kimetokea!

Mchezo umeshamalizwa ' Kitambo ' na nadhani hiyo ' delegation ' ya FIFA inakuja tu ' Kutalii ' Tanzania na kama vipi kabla hawajarudi Kwao Zurich kila mmoja wao tutampa ' Mtaa ' wake kama ' Kumbukumbu ' yao ya kupoteza muda kuja Tanzania ' kuhangaika ' na ' mpigaji ' aliyetukuka.
 
Nawewe ulituaminisha Simba imeshinda rufaa ya FIFA hapa

Leo tunaongelea suala la Rais wa FIFA, delegation yake na suala zima la akina Malinzi na wenzake. Hilo la ' rufaa ' ya Simba FIFA mchukue Mkeo hapo ' mkajadiliane ' nae Kitandani.
 
Ukienda segerea saidia kumuuliza Aveva na Kaburu rufaa ya simba huko Fifa majibu yake ni lini jamani??
 
Delegation ya fifa inatua kesho hapo Dar.
Malinzi alimpigia kura infantino, so tusubri sarakasi....ndo kwanza picha limeanza
walipiga kura za wazi? na unafikiri kuna sarakasi zozote kwenye kesi yake zaid ya wao kuja kubariki tu kamati tendaji kuendelea na majukumu mpaka uchaguzi wa kuwapata viongozi wapya. wakijipendekeza kuhoji kwanini kakamatwa basi hawataurudi walikotokea salama na wao watatiwa ndani kwa kosa la kuingilia masuala ya ndani ya nchi
 
Leo tunaongelea suala la Rais wa FIFA, delegation yake na suala zima la akina Malinzi na wenzake. Hilo la ' rufaa ' ya Simba FIFA mchukue Mkeo hapo ' mkajadiliane ' nae Kitandani.
Nakukumbusha tu mpiga zumari
 
Alifanya haraka kupongeza.. Sasa aje na yeye ampongeze kwa kutakatisha manoti
 
Mbona suala la kupongeza limekuwa ishu? Mbona huko mikia hakuna aliepeleka lalamiko fifa? mlitaka waipongeze simba aliezawadiwa kombe la shirikisho na refa na tff yke
 
Hata wewe unaweza kumpongeza tu Malinzi kwa kukuzawadia kombe ilhali kuna rufaa ya FIFA
 
Back
Top Bottom