Kama Rais wa FIFA Infantino aliipongeza Yanga FC kupitia Malinzi mbona bado hajampa pole Malinzi?

Je kuna Mtu yoyote labda tokea Rais wa TFF Jamal Emil Malinzi alipokamatwa na hadi kupelekwa ' Segadansi ' mpaka muda huu ameona ' Tweet ' yoyote kutoka kwa Rais wa FIFA Infantino kumpa pole ' Swahiba ' wake Malinzi kama ambavyo Rais huyo wa FIFA alifanya hivyo haraka sana kupitia kwa Malinzi kuipongeza Klabu ya Yanga FC kwa ' kutwaa ' tena Ubingwa wa VPL?

Rais wa FIFA Infantino anachelewa nini mpaka sasa ku ' tweet ' kumpa pole ' Swahiba ' wake wa ' Kutukuka ' Rais wa TFF Jamal E. Malinzi?

Nawasilisha.
Ile tweet ilikuwa ya Malinzi personally ama ilielekezwa kwa Yanga? Infantino ni shabiki mkubwa wa Yanga
 
Huko smart kijana. Kwani alipongezwa Malinzi ama Yanga? Sasa unataka wapongeze kwa lipi tena wakati Yanga hawajafanya la kupongezwa?
 
Je kuna Mtu yoyote labda tokea Rais wa TFF Jamal Emil Malinzi alipokamatwa na hadi kupelekwa ' Segadansi ' mpaka muda huu ameona ' Tweet ' yoyote kutoka kwa Rais wa FIFA Infantino kumpa pole ' Swahiba ' wake Malinzi kama ambavyo Rais huyo wa FIFA alifanya hivyo haraka sana kupitia kwa Malinzi kuipongeza Klabu ya Yanga FC kwa ' kutwaa ' tena Ubingwa wa VPL?

Rais wa FIFA Infantino anachelewa nini mpaka sasa ku ' tweet ' kumpa pole ' Swahiba ' wake wa ' Kutukuka ' Rais wa TFF Jamal E. Malinzi?

Nawasilisha.
Zile zilikuwa porojo tu za kutafuta kuungwa mkono, huyo Infantino asiipongeze Chelsea, eti aipongeze Yanga!?...
 
Back
Top Bottom