GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Delegation ya fifa inatua kesho hapo Dar.
Malinzi alimpigia kura infantino, so tusubri sarakasi....ndo kwanza picha limeanza
Je kuna Mtu yoyote labda tokea Rais wa TFF Jamal Emil Malinzi alipokamatwa na hadi kupelekwa ' Segadansi ' mpaka muda huu ameona ' Tweet ' yoyote kutoka kwa Rais wa FIFA Infantino kumpa pole ' Swahiba ' wake Malinzi kama ambavyo Rais huyo wa FIFA alifanya hivyo haraka sana kupitia kwa Malinzi kuipongeza Klabu ya Yanga FC kwa ' kutwaa ' tena Ubingwa wa VPL?
Rais wa FIFA Infantino anachelewa nini mpaka sasa ku ' tweet ' kumpa pole ' Swahiba ' wake wa ' Kutukuka ' Rais wa TFF Jamal E. Malinzi?
Nawasilisha.
FIFA washatuma watu wao kuja kuona nini kimetokea!
Nawewe ulituaminisha Simba imeshinda rufaa ya FIFA hapa
walipiga kura za wazi? na unafikiri kuna sarakasi zozote kwenye kesi yake zaid ya wao kuja kubariki tu kamati tendaji kuendelea na majukumu mpaka uchaguzi wa kuwapata viongozi wapya. wakijipendekeza kuhoji kwanini kakamatwa basi hawataurudi walikotokea salama na wao watatiwa ndani kwa kosa la kuingilia masuala ya ndani ya nchiDelegation ya fifa inatua kesho hapo Dar.
Malinzi alimpigia kura infantino, so tusubri sarakasi....ndo kwanza picha limeanza
Nakukumbusha tu mpiga zumariLeo tunaongelea suala la Rais wa FIFA, delegation yake na suala zima la akina Malinzi na wenzake. Hilo la ' rufaa ' ya Simba FIFA mchukue Mkeo hapo ' mkajadiliane ' nae Kitandani.
Nakukumbusha tu mpiga zumariLeo tunaongelea suala la Rais wa FIFA, delegation yake na suala zima la akina Malinzi na wenzake. Hilo la ' rufaa ' ya Simba FIFA mchukue Mkeo hapo ' mkajadiliane ' nae Kitandani.
Mbona suala la kupongeza limekuwa ishu? Mbona huko mikia hakuna aliepeleka lalamiko fifa? mlitaka waipongeze simba aliezawadiwa kombe la shirikisho na refa na tff ykeAlifanya haraka kupongeza.. Sasa aje na yeye ampongeze kwa kutakatisha manoti
Hata wewe unaweza kumpongeza tu Malinzi kwa kukuzawadia kombe ilhali kuna rufaa ya FIFAMbona suala la kupongeza limekuwa ishu? Mbona huko mikia hakuna aliepeleka lalamiko fifa? mlitaka waipongeze simba aliezawadiwa kombe la shirikisho na refa na tff yke
Pongez haiwez kubatilisha maamuz ya rufaaHata wewe unaweza kumpongeza tu Malinzi kwa kukuzawadia kombe ilhali kuna rufaa ya FIFA