BIG DOGG JF-Expert Member Joined Sep 15, 2024 Posts 1,869 Reaction score 2,707 Jan 9, 2025 #21 Lucas Mwashambwa said: Lissu kamwe na katu hawezi kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Click to expand... Atakua mumeo akupumulie
Lucas Mwashambwa said: Lissu kamwe na katu hawezi kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Click to expand... Atakua mumeo akupumulie
I intelligence quotient Senior Member Joined Sep 9, 2024 Posts 126 Reaction score 161 Jan 9, 2025 #22 ChoiceVariable said: Itakuwa aibu bwana Mwenyekiti Mbowe kukimbia vinyago alivyocuonga mwenyewe na kukabidhi chama kwa vibaraka wa Mabeberu. Wazee wanagombea huko Ivory Coast mara ya 4 sembuse wewe Mbowe kijana una Nguvu halafu mbichi kabisa πππ Twende kazi Mwamba Mbowe View: https://x.com/ReutersAfrica/status/1877319595381436905?t=GVDVLwkSqRFgTioS0HDcdg&s=19 Click to expand... Uwepo wa haramu kwingine, kunahalarisha uharamia uliopo?! Ni sawa eti kisa jirani anajisaidia nje basi na wengine wamuige?!
ChoiceVariable said: Itakuwa aibu bwana Mwenyekiti Mbowe kukimbia vinyago alivyocuonga mwenyewe na kukabidhi chama kwa vibaraka wa Mabeberu. Wazee wanagombea huko Ivory Coast mara ya 4 sembuse wewe Mbowe kijana una Nguvu halafu mbichi kabisa πππ Twende kazi Mwamba Mbowe View: https://x.com/ReutersAfrica/status/1877319595381436905?t=GVDVLwkSqRFgTioS0HDcdg&s=19 Click to expand... Uwepo wa haramu kwingine, kunahalarisha uharamia uliopo?! Ni sawa eti kisa jirani anajisaidia nje basi na wengine wamuige?!
MamaSamia2025 JF-Expert Member Joined Mar 29, 2012 Posts 14,588 Reaction score 32,361 Jan 9, 2025 #23 Mbowe bado mdogo sana kuachia uenyekiti... bado ana nguvu kama Abdul Nondo linapokuja suala la uenyekiti. Kustaafishwa na Mnyampaa wa Singida ni aibu kubwa kwa mtoto wa mjini Mbowe.
Mbowe bado mdogo sana kuachia uenyekiti... bado ana nguvu kama Abdul Nondo linapokuja suala la uenyekiti. Kustaafishwa na Mnyampaa wa Singida ni aibu kubwa kwa mtoto wa mjini Mbowe.
JUAN MANUEL JF-Expert Member Joined Nov 26, 2010 Posts 7,808 Reaction score 16,972 Jan 9, 2025 #24 ChoiceVariable said: Itakuwa aibu bwana Mwenyekiti Mbowe kukimbia vinyago alivyocuonga mwenyewe na kukabidhi chama kwa vibaraka wa Mabeberu. Wazee wanagombea huko Ivory Coast mara ya 4 sembuse wewe Mbowe kijana una Nguvu halafu mbichi kabisa πππ Twende kazi Mwamba Mbowe View: https://x.com/ReutersAfrica/status/1877319595381436905?t=GVDVLwkSqRFgTioS0HDcdg&s=19 Click to expand... Sasa kipi cha upekee kuhusu huyo mzee wa miaka 83 wa ivory Coast, mpaka tumuige? Kwa nini usiige akili kubwa, USA?
ChoiceVariable said: Itakuwa aibu bwana Mwenyekiti Mbowe kukimbia vinyago alivyocuonga mwenyewe na kukabidhi chama kwa vibaraka wa Mabeberu. Wazee wanagombea huko Ivory Coast mara ya 4 sembuse wewe Mbowe kijana una Nguvu halafu mbichi kabisa πππ Twende kazi Mwamba Mbowe View: https://x.com/ReutersAfrica/status/1877319595381436905?t=GVDVLwkSqRFgTioS0HDcdg&s=19 Click to expand... Sasa kipi cha upekee kuhusu huyo mzee wa miaka 83 wa ivory Coast, mpaka tumuige? Kwa nini usiige akili kubwa, USA?
M mpelu6 JF-Expert Member Joined Aug 21, 2021 Posts 285 Reaction score 259 Jan 9, 2025 #25 Lucas Mwashambwa said: Lissu kamwe na katu hawezi kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Click to expand... Kwanin bwana Lucas Hebel Mwashambwa?na kwanin CCM wanamuogopa sana Tundh Lissu?
Lucas Mwashambwa said: Lissu kamwe na katu hawezi kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Click to expand... Kwanin bwana Lucas Hebel Mwashambwa?na kwanin CCM wanamuogopa sana Tundh Lissu?