Kama Rais wa Ivory Coast mwenye miaka 83 anagombea tena Urais, Mbowe ni nani Hadi aachie Uenyekiti na miaka 63?

Itakuwa aibu bwana Mwenyekiti Mbowe kukimbia vinyago alivyocuonga mwenyewe na kukabidhi chama kwa vibaraka wa Mabeberu.

Wazee wanagombea huko Ivory Coast mara ya 4 sembuse wewe Mbowe kijana una Nguvu halafu mbichi kabisa 😂😂😂

Twende kazi Mwamba Mbowe

View: https://x.com/ReutersAfrica/status/1877319595381436905?t=GVDVLwkSqRFgTioS0HDcdg&s=19

Uwepo wa haramu kwingine, kunahalarisha uharamia uliopo?! Ni sawa eti kisa jirani anajisaidia nje basi na wengine wamuige?!
 
Mbowe bado mdogo sana kuachia uenyekiti... bado ana nguvu kama Abdul Nondo linapokuja suala la uenyekiti. Kustaafishwa na Mnyampaa wa Singida ni aibu kubwa kwa mtoto wa mjini Mbowe.
 
Itakuwa aibu bwana Mwenyekiti Mbowe kukimbia vinyago alivyocuonga mwenyewe na kukabidhi chama kwa vibaraka wa Mabeberu.

Wazee wanagombea huko Ivory Coast mara ya 4 sembuse wewe Mbowe kijana una Nguvu halafu mbichi kabisa 😂😂😂

Twende kazi Mwamba Mbowe

View: https://x.com/ReutersAfrica/status/1877319595381436905?t=GVDVLwkSqRFgTioS0HDcdg&s=19

Sasa kipi cha upekee kuhusu huyo mzee wa miaka 83 wa ivory Coast, mpaka tumuige? Kwa nini usiige akili kubwa, USA?
 
Back
Top Bottom