Kama RCO Kinondoni anadai Usalama wa Boni Mayai alipaswa ampe ulinzi na taarifa za wanaohatarisha usalama wake kisha kuwakamata

Kama RCO Kinondoni anadai Usalama wa Boni Mayai alipaswa ampe ulinzi na taarifa za wanaohatarisha usalama wake kisha kuwakamata

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Nimeshangaa sana. Yaani mkuu wa upelelezi unapeleka kiapo Mahakamani ili mtuhumiwa asipate dhamana?

Primary objective ya jeshi la polisi ni kulinda usalama wa raia na mali zao.

Sasa kama kuna watu wanahatarisha usalama wa Boniphace. Kwa nini hao watu wasikamatwe?
 
Huu upuuzi wa kuwakatalia watu dhamana kwa hila, haukubaliki hata kidogo.
 
Back
Top Bottom