Kama reforms ingefanyika, wote waliokatwa wangekimbilia CHADEMA

Kama reforms ingefanyika, wote waliokatwa wangekimbilia CHADEMA

EBUILT

New Member
Joined
Nov 5, 2024
Posts
3
Reaction score
3
Majina ya waliokuwa wabunge wa CCM wenye majina makubwa, kama January's Makamba, Ummy Mwalimu, n.k wote wangehamia CHADEMA. Na mwaka huu CCM ingekufa kifo kibaya sana.
 
Kama reforms zingefanyika, wasingethubutu kuwaacha hao mabest striker wao.

Hizi ni harakati tu za kubalance sheet😂😂😂

 
Back
Top Bottom