Kama Rwanda iko interested na mipaka inabidi ijue kuwa Rwanda na Burundi sehemu ya Tanzania

Mr Chromium

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2020
Posts
2,761
Reaction score
3,835
Angalia hii ramani

BA66366C-2601-4129-9F05-B6FD82DBD188.jpeg
 
Yaani kuliko Nyerere alivyopambana ku annex Zanzibar. Bora kwanza angeanza na Rwanda na Burundi kisha unawasambaza nchi nzima. Kipindi kile walikuwa wachache. Unahakikisha wanasambaa nchi nzima wasikae wengi eneo Moja.
Huu ujinga wa Kagame ungekuwa historia Kwa Sasa na si ajabu angekuwa dereva malori TU mjinga huyu.
 
😂😂dereva wa malori
 
Mkuu; Kwani kuna nini kuhusu huyo PK na mipaka ya nchi? Tupe kwa uchache tafadhali.
 
watanzania bwana ni wajinga sana na wajuaji sana,wao kutwa kuonewa na ujinga mwingi,alafu akitoa argument anajiona katoa point ya maana,kumbe ni mjinga ambaye hajijui kama mjinga hili ni tatizo sana,mjinga kutoa ushauri kwa mwerevu,ukistaajabu ya Musa utaona ya firauni,Tanzania ni kama kisiwa fulani kilichojitenga na dunia,watu wanamawazo ya miaka ya 1950s
 
Sasa wewe hapo umetoa nn cha maana!!
Huna hoja ya kujadili huna unachokijua ilimradi umeandika.

Possibly na vocha umeokota ndo uweke mbs
 
Najaribu kutafakari mambo mazito yaliyotokea katika taifa letu issue kama utekaji ambayo kwa kiwango kikubwa umetikisa kabisa taifa letu,mambo kadhaa ya uvunjwaji wa katiba,ujazungumzia issue kubwa ya uchaguzi wa serikali za mitaa rough za ajabu zilivyochezwa kwa binadamu mwerevu na mwenye hekima asingekuwa kimya ,lakini binadamu mjinga anaacha kuzungumzia issue inayoathiri mustakabari wa maisha yake anafocus na issue ambazo kwa akili yake finyu sio Level yake kabisa,huu si ujinga wa mjinga??
 
Yaani kuliko Nyerere alivyopambana ku annex Zanzibar. Bora kwanza angeanza na Rwanda na Burundi kisha unawasambaza nchi nzima. Kipindi kile walikuwa wachache. Unahakikisha wanasambaa nchi nzima wasikae wengi eneo Moja.
Huu ujinga wa Kagame ungekuwa historia Kwa Sasa na si ajabu angekuwa dereva malori TU mjinga huyu.
Hahahahahah
Watu mna vituko sana aseee. Nimecheka sana kwa comment hii.
 
Ili kuweka Historia sawa basi maeneo hayo hayajawahi kuwa sehemu ya Tanzania bali yalikuwa sehemu ya Tanganyika. Wakati huo pia ukanda wa pwani ya Tanganyika katika Bahari ya Hindi yalikuwa chini ya mamlaka ya Sultani wa Zanzibari.
Ongea kwa raman hapo hamna raman ya sultan
Tafuta raman za wakat mwingine
 
Yaani kuliko Nyerere alivyopambana ku annex Zanzibar. Bora kwanza angeanza na Rwanda na Burundi kisha unawasambaza nchi nzima. Kipindi kile walikuwa wachache. Unahakikisha wanasambaa nchi nzima wasikae wengi eneo Moja.
Huu ujinga wa Kagame ungekuwa historia Kwa Sasa na si ajabu angekuwa dereva malori TU mjinga huyu.
Umefikiria kama mimi.. Rwanda na Burundi zilipaswa ziwe moja ya mikoa yetu
 
Najaribu kutafakari mambo mazito yaliyotokea katika taifa letu issue kama utekaji ambayo kwa kiwango kikubwa umetikisa kabisa taifa letu,mambo kadhaa ya uvunjwaji wa katiba,ujazungumzia issue kubwa ya uchaguzi wa serikali za mitaa rough za ajabu zilivyochezwa kwa binadamu mwerevu na mwenye hekima asingekuwa kimya ,lakini binadamu mjinga anaacha kuzungumzia issue inayoathiri mustakabari wa maisha yake anafocus na issue ambazo kwa akili yake finyu sio Level yake kabisa,huu si ujinga wa mjinga??
Jitahidi kutofautisha interest zako na interest za wengine.
We ni natinalist
Mi ni pan Africanist.

So mtafute mtu wa level yako ndo ujadili hayo mambo ya ndani ya Tanzania.
 
Back
Top Bottom