Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pan africanist gani haujui chanzo cha huo mgogoro,lengo la mgogoro ,nikisema we ni mjinga nitakuwa nimekosea??Jitahidi kutofautisha interest zako na interest za wengine.
We ni natinalist
Mi ni pan Africanist.
So mtafute mtu wa level yako ndo ujadili hayo mambo ya ndani ya Tanzania.
Kwani Burundi ina tofaut gani na kigoma?ila zingekua masikini au mikoa masikini kama ilivo kigoma na Kagera
Mtu na akili yako timamu,unaweza linganisha burundi na kigoma kwa level ya Uchumi??,tukisema watanzania wengi ni wajinga tutakuwa tumekosea kweli???Kwani Burundi ina tofaut gani na kigoma?
Angekuwa dalali wa vyumba Buza😂😂Yaani kuliko Nyerere alivyopambana ku annex Zanzibar. Bora kwanza angeanza na Rwanda na Burundi kisha unawasambaza nchi nzima. Kipindi kile walikuwa wachache. Unahakikisha wanasambaa nchi nzima wasikae wengi eneo Moja.
Huu ujinga wa Kagame ungekuwa historia Kwa Sasa na si ajabu angekuwa dereva malori TU mjinga huyu.
Upeo wa watanzania walio wengiAngekuwa dalali wa vyumba Buza😂😂
Huu uzi si kwasababu ya chanzo cha mgogoro!Pan africanist gani haujui chanzo cha huo mgogoro,lengo la mgogoro ,nikisema we ni mjinga nitakuwa nimekosea??
Chief, ukichukulia maisha serious sana unaweza ukadata.Upeo wa watanzania walio wengi
Angalia vizuri utaona mipaka ya Pwani ya Tanganyika imewekea dash dash na pameandikwa Zanzibar. Na hii ramani hakuna Jina la Tanzania ni ramani ya muda ule wa mgawanyo wa Afrika. Sisi tulikuwa chini ya Mjerumani na Jina tulilopewa ni Deutsch-Ostafrika.Ongea kwa raman hapo hamna raman ya sultan
Tafuta raman za wakat mwingine
Ukiona unapata hasira na mawazo ya watu wengine ebu uchekiwe IQUpeo wa watanzania walio wengi
Najaribu kumsaidia lakin uelewa wake n mdogo na anadhan kila mtu hapa hafaham.Chief, ukichukulia maisha serious sana unaweza ukadata.
Lighten up a bit. Una kazi ya kunanga upeo na uelewa wa watu kumbe kiuhalisia dumb ass ni wewe unaetaka kubishana na kila comment.
Jibu swali unajua chanzo cha mgogoro na unajua nini lengo la mgogoro??Huu uzi si kwasababu ya chanzo cha mgogoro!
Uko 2025 bado unataka kuelezewa chanzo cha mgogoro wa DRC??? kweli mbona hauko series.
Basi sasa tafuta nyuzi zingine zimeelezea tangu 2021 waliporud tena m23.
Unaonekana uko nyuma ya muda kwa miaka kadhaa
Navijua vyote ivo!!Jibu swali unajua chanzo cha mgogoro na unajua nini lengo la mgogoro??
Nimependa hapai ajabu angekuwa dereva malori TU mjinga huyu.
Jibu swali,ushahidi upi ulionao unaonesha unajua vyote???Navijua vyote ivo!!
Kwani kuna sehemu nimesema sijui!
Fungua nyuzi zangu za nyuma ujisomee
Sawa nimeona kwaiyo unatakaje??Angalia vizuri utaona mipaka ya Pwani ya Tanganyika imewekea dash dash na pameandikwa Zanzibar. Na hii ramani hakuna Jina la Tanzania ni ramani ya muda ule wa mgawanyo wa Afrika. Sisi tulikuwa chini ya Mjerumani na Jina tulilopewa ni Deutsch-Ostafrika.
Sipo kwa ajili ya kukuonesha na hujui.Jibu swali,ushahidi upi ulionao unaonesha unajua vyote???
😂😂😂Nimependa hapa