Kama Rwanda iko interested na mipaka inabidi ijue kuwa Rwanda na Burundi sehemu ya Tanzania

Siku nitapokua Raisi wa Tanzania nitahakikisha Zanzibar inakua mkoa ndani ya nchi ya Tanganyika nitairudisha Mombasa ndani ya jamuhuri ya Tanganyika then nitaichukua Burundi na Rwanda, halafu namaliza na lile Jimbo lenye machafuko kule Msumbiji
 
Jitahidi kutofautisha interest zako na interest za wengine.
We ni natinalist
Mi ni pan Africanist.

So mtafute mtu wa level yako ndo ujadili hayo mambo ya ndani ya Tanzania.
Pan africanist gani haujui chanzo cha huo mgogoro,lengo la mgogoro ,nikisema we ni mjinga nitakuwa nimekosea??
 
Angekuwa dalali wa vyumba BuzaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Pan africanist gani haujui chanzo cha huo mgogoro,lengo la mgogoro ,nikisema we ni mjinga nitakuwa nimekosea??
Huu uzi si kwasababu ya chanzo cha mgogoro!
Uko 2025 bado unataka kuelezewa chanzo cha mgogoro wa DRC??? kweli mbona hauko series.
Basi sasa tafuta nyuzi zingine zimeelezea tangu 2021 waliporud tena m23.
Unaonekana uko nyuma ya muda kwa miaka kadhaa
 
Ongea kwa raman hapo hamna raman ya sultan
Tafuta raman za wakat mwingine
Angalia vizuri utaona mipaka ya Pwani ya Tanganyika imewekea dash dash na pameandikwa Zanzibar. Na hii ramani hakuna Jina la Tanzania ni ramani ya muda ule wa mgawanyo wa Afrika. Sisi tulikuwa chini ya Mjerumani na Jina tulilopewa ni Deutsch-Ostafrika.
 
Chief, ukichukulia maisha serious sana unaweza ukadata.

Lighten up a bit. Una kazi ya kunanga upeo na uelewa wa watu kumbe kiuhalisia dumb ass ni wewe unaetaka kubishana na kila comment.
Najaribu kumsaidia lakin uelewa wake n mdogo na anadhan kila mtu hapa hafaham.
Watu wana madini na hawatak kuongea maana sababu ya kufanya hivo hawana
 
Huu uzi si kwasababu ya chanzo cha mgogoro!
Uko 2025 bado unataka kuelezewa chanzo cha mgogoro wa DRC??? kweli mbona hauko series.
Basi sasa tafuta nyuzi zingine zimeelezea tangu 2021 waliporud tena m23.
Unaonekana uko nyuma ya muda kwa miaka kadhaa
Jibu swali unajua chanzo cha mgogoro na unajua nini lengo la mgogoro??
 
w
Sawa nimeona kwaiyo unatakaje??
Zanzibar fate yake ilikua tanganyika maana hata kujikomboa walishindwa had akatoka John okello toka uganda.

plus kwa huo muda sultan alikua hatawali sehemu yyte ya pwan zaidi ya zanzibar
 
Jibu swali,ushahidi upi ulionao unaonesha unajua vyote???
Sipo kwa ajili ya kukuonesha na hujui.
Nimekwambia fungua nyuzi zangu za nyuma maana ni kama umeingia jf leo.
Soma : mauaji ya kimbari
soma first congo war
soma 2nd congo war
Taratibu uta catch up sawa na wenzio humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…