DRC ina jeshi dhaifu. Haiwezi kufanya unavyopendekeza.1. Kwanini Jeshi la DRC lisiweke kambi kuzunguka mipaka yote ya Rwanda?
Kama ni kweli Rwanda ndiyo inawafadhili waasi supply yote itaisha ndani ya mwezi mmoja.
Yaani kama tunapigana na waasi wanaosaidiwa na kenya tunahakikisha kuanzia mwanza hadi kilimanjaro mipaka ina jeshi litakao tapakaa vijijini na maporini.
Vivyo hivyo kama Mataifa ya nje ndiyo yanayowafadhili m23.
Sielewi naombeni mnieleweshe.
Unasemaje jeshi linalopigana kila siku ni dhaifu Mkuu?DRC ina jeshi dhaifu. Haiwezi kufanya unavyopendekeza.
Rais hajataka kudhibiti uingizwaji wa silaha....1. Kuna silaha za Rwanda zinapitia bongo
2. Kuna silaha za Rwanda zinapitia Uganda
3. Kuna silaha za waasi ndani ya DRC zinapatikana kutoka kwa wanaolinda amani DRC
4. Kuna silaha zinakuja kwa ndege
5.
Kuna watu hawapendi maeneo Yale yawe na amani. Kukiwa na amani pale halafu pakawa organized ile ni sehemu tajiri sana
Au ndani ya jeshi Kuna M23?Unakuwa na jeshi limetanda kuanzia Mara mpaka Tanga kudhibiti waasi wanaotoka Kenya kama mfano wako unavyosema lakini ni less organized, corrupt, not motivated, halina vifaa na mafunzo, mamluki wengii, etc. Haitofaa kitu. Shukuru JWTZ
Kupigana kila siku sio hoja ,hoja linapata nini kwenye hayo mapigano ya kila siku ndio hojaUnasemaje jeshi linalopigana kila siku ni dhaifu Mkuu?
Jeshi linaloongozwa na Angola sijui, ninachojua DRC ina jeshi dogo, lisilo na silaha wala uwezo wowote, Kagame na mamluki wake wanajiingilia DRC wanavyotaka.Kazi ya jeshi linaloongozwa na Angola ni nini?
Linalazimika kupigana kila siku kwa sababu M23 wanakuwa kwenye offensive, lenyewe linakuwa kwny deffensive.Unasemaje jeshi linalopigana kila siku ni dhaifu Mkuu?
Tacticaly haiwezekan DRC kupeleka wanajeshi kuzunguka rwanda. Wakti adui yupo ndani ya ardhi yake1. Kwanini Jeshi la DRC lisiweke kambi kuzunguka mipaka yote ya Rwanda?
Kama ni kweli Rwanda ndiyo inawafadhili waasi supply yote itaisha ndani ya mwezi mmoja.
Yaani kama tunapigana na waasi wanaosaidiwa na kenya tunahakikisha kuanzia mwanza hadi kilimanjaro mipaka ina jeshi litakao tapakaa vijijini na maporini.
Vivyo hivyo kama Mataifa ya nje ndiyo yanayowafadhili m23.
Sielewi naombeni mnieleweshe.