Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
We ungekuwa upo zako Kinshansa unapiga mvinyo ungehangaika na masuala ya sijui Kivu Kaskazini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DRC kuna zaidi ya vikundi 30 vya waasi sio mchezo vurugu lake.Linalazimika kupigana kila siku kwa sababu M23 wanakuwa kwenye offensive, lenyewe linakuwa kwny deffensive.
Namaanisha waasi wanakuwa wanapigana kusonga mbele na jeshi la DRC linalazimika kupigana kujihami, halina uwezo wa kuwafuata kwny kambi zao huko misituni.
Hiyo FARDC, bila kusaidiwa, ndani ya wiki moja waasi wanaikamata Kinshasa, serikali ya DRC inaishi kwa msaada wa majirani tu.
Wataku tangaza dikteta kisha watakuwekea vikwazo, utapinduliwa na kufungwa au utauwawa.Shida hilohilo jeshi la kongo kuna wasaliti!, ile vita ki mbinu ni rahisi ila kiuhalisia ni ngumu maana wale majeshi yakongo kuna watu wa M23 wanatoa taarifa za nini kinafuata kwa M23!.
shida ni hilo jeshi la kongo ni dhaifu mno hivyo ni rahisi kuhongeka!, halafu ugopa matajiri wakiona ni kikwazo humalizi muda watahakikisha unasepa! ile vita ukitaka uivunje wajue wale mapapa wanaofadhiri M23, halafu fanya operation ya siri sana uwaue! hapo hakuna jiwe litakaa juu ya jiwe!.
AibuuuHawa waasi sio kama
Rais hajataka kudhibiti uingizwaji wa silaha....
Hawa waasi wapo established kilometa kadhaa za mraba. Monitor ndege zinazoingia weka checkpoints njia zote kuelekea wanapoishi waasi. Ukikata walau 60% ya mawasiliano kati ya waasi na mataifa ya nje ikiwemo Rwanda umemaliza kazi.
Je, AU inataka kuisaidia Congo kweli au nasisi tunafurahia yanayotokea....viongozi hawawezi Kuja na njia mbadala au wanafurahia kina mama wanavyokimbia na vitoto vichanga?
Tutabaki kusema haya. Hatujui jinsi gani joka kuuubwa LA makampuni na nchi tajiri lilivyoizingira DRC.Wakongo wote kama vinyeo vya kuku akili zao matope tangu lini mkata viuno akawa seriousl na kazi ya jeshi
Hakuna pa kupita,rwanda imefunga njia zote,pia rais tshishekedi ni rais juha kabisa hana anachoweza1. Kwanini Jeshi la DRC lisiweke kambi kuzunguka mipaka yote ya Rwanda?
Kama ni kweli Rwanda ndiyo inawafadhili waasi supply yote itaisha ndani ya mwezi mmoja.
Yaani kama tunapigana na waasi wanaosaidiwa na kenya tunahakikisha kuanzia mwanza hadi kilimanjaro mipaka ina jeshi litakao tapakaa vijijini na maporini.
Vivyo hivyo kama Mataifa ya nje ndiyo yanayowafadhili m23.
Sielewi naombeni mnieleweshe.
Hawa waasi sio kama
Rais hajataka kudhibiti uingizwaji wa silaha....
Hawa waasi wapo established kilometa kadhaa za mraba. Monitor ndege zinazoingia weka checkpoints njia zote kuelekea wanapoishi waasi. Ukikata walau 60% ya mawasiliano kati ya waasi na mataifa ya nje ikiwemo Rwanda umemaliza kazi.
Je, AU inataka kuisaidia Congo kweli au nasisi tunafurahia yanayotokea....viongozi hawawezi Kuja na njia mbadala au wanafurahia kina mama wanavyokimbia na vitoto vichanga?
Akili mfu hizi.DRC WAOMBE TZ WAUNGANE WAWE KAMA ZANZIBAR ILA MAAMUZI NA JESHI LIRATIBIWE IKULU DODOMA🤝