Kama Rwanda ndiyo inaisaidia M23......

We ungekuwa upo zako Kinshansa unapiga mvinyo ungehangaika na masuala ya sijui Kivu Kaskazini?
 
DRC kuna zaidi ya vikundi 30 vya waasi sio mchezo vurugu lake.
 
Wataku tangaza dikteta kisha watakuwekea vikwazo, utapinduliwa na kufungwa au utauwawa.
 
Kona nyingi sana zipo¹ nyingi sana na wanaopigana ni banyamulenge wapo humo Congo.
Conflict lazima iwepo ili wengine wachume maana wenye nchi wamelala tu.
 
Wakongo wote kama vinyeo vya kuku akili zao matope tangu lini mkata viuno akawa seriousl na kazi ya jeshi
 
Dialogue, Tishekedi ameshagundua Ubabe hausaidii.
 
Aibuuu

1. Kila mmoja anajua msala wa DRC ni nchi jirani inajiendesha kwa kutumia maliasili za nchi jirani
2. Kila mmoja anajua huyo jirani anategemea backup ya nchi za nje na makampuni ya nje yanayofurahia kununua madini kwa bei chee au kuchukua bure. Madini ya wizi yanayopitia njia za chochoro ni cheap ukilinganisha na kama ungenunua kwa njia rasmi
3. Kila mmoja katika AU atakuwa anaona noma kuwa akimzingua jirani nayeye atazinguliwa na wazungu
4. Au katika AU Hamna akina Nyerere wa kizazi hiki. Akina Nyerere waliamini nchi moja katika Afrika ikibaki inatawaliwa ni kama Afrika nzima bado inatawaliwa. Leo: nchi moja katika Afrika ikisumbuliwa na uasi ni kama Afrika nzima haina amani.
 
Wakongo wote kama vinyeo vya kuku akili zao matope tangu lini mkata viuno akawa seriousl na kazi ya jeshi
Tutabaki kusema haya. Hatujui jinsi gani joka kuuubwa LA makampuni na nchi tajiri lilivyoizingira DRC.
Mioyo, macho, na masikio yao yako DRC. Wao hawana maliasili zinazopatikana DRC na wanazihitaji mbaya kabisa. Na hawataki kununua kihalali. Kudadek!
 
Hakuna pa kupita,rwanda imefunga njia zote,pia rais tshishekedi ni rais juha kabisa hana anachoweza
 

Kwahiyo hutaki kujiuliza kwanini watu wamekuwa waasi? Bila kutibu mzizi wa tatizo ni kazi bure!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…