Kama Samatta kakwama huko England mashabiki tuambiwe ukweli

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,491
Reaction score
12,560
Kwa kawaida huwa haichukui zaidi ya masaa 48 baada ya vipimo vya afya mchezaji kutambulishwa na klabu, fuatilieni sajili zote mtaona

lakini huyu ndugu yetu Samatta tokea tuskie yupo Uk akifanya vipimo vya afya tunaona kimya tu mpaka sasa, kama dili limebuma tuambiwe tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amekutwa na mafua hadi apone 😝😝
 
Inaandikwa na James Rushton tokea nchini Uingereza. Klabu ya Aston Villa inahitaji mshambuliaji na hadi sasa tetesi ni uhamisho wa dau la pauni 8.5 millioni kumpata mtanzania Mbwana Ally Samatta toka klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji limekwishakamilika.
Mshambuliaji huyu amekuwa akiishi na kufanya kazi nchini Ubelgiji tokea mwaka 2016.

Amefurahia muda wake katika soka la Ulaya tokea muda huo ila uhamisho kwenda England utamlazimu Samatta kupitia vigezo vingi ambavyo huombwa na watu wasio na pasi za Jumuiya ya Ulaya.

Kwa kuwa Tanzania haipo Jumuiya ya Ulaya Samatta itamlazimu kupata kibali cha kazi.

Samatta atapata vipi kibali cha kazi? Ofisi ya mambo ya ndani ya Uingereza huweka mfumo wa pointi na klabu husika hufanya maombi kwenye chama husika cha soka kuwasaidia kwa ofisi ya mambo ya ndani na chama cha soka cha England FA kuruhusu kibali kutolewa.

Mfumo wa pointi unamaanisha kibali cha kazi kutolewa ila hii ni kwa wachezaji ambao timu zao zinashika nafasi 10 za juu katika viwango vya FIFA. Huwezi kuiona Tanzania katika kundi hili, mara ya mwisho kwa timu hii kushika viwango vya juu vya FIFA ilikuwa ni mwaka 1995 iliposhika nafasi ya 70. Kwa sasa ni ya 134 hii ikimaanisha Samatta atahitaji kusanya pointi zaidi toka katika vipengele vingine kama ifuatavyo. LICHADI
 
Duuuuh!!
 
Sasa akikosa hizo pointi itakaje sasa maana sisi tulikuwa tumeishajiandaa kusema hii yote ni kwa juhudi za magufuli
 
Kinachoniuma ni kazi kubwa anayokwenda kuifanya Kama atasajiliwa. Aston Villa iko katika nafasi ya tatu toka chini. Inaelekea kwenda Championship, je Samatta amekubali kucheza ligi za chini?

Mwenyezi Mungu ambariki aende na jitihada zake na nia yake ya kucheza Uingereza iwe yenye ufanisi.
 
Kwa kawaida huwa haichukui zaidi ya masaa 48 baada ya vipimo vya afya mchezaji kutambulishwa na klabu, fuatilieni sajili zote mtaona

lakini huyu ndugu yetu Samatta tokea tuskie yupo Uk akifanya vipimo vya afya tunaona kimya tu mpaka sasa, kama dili limebuma tuambiwe tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kupata kibali cha kazi ni mchakato mrefu.
 
Juzi Jana nimekua nikifatilia habari za Samatta kwenda Aston Villa...

Ukweli ni kwamba keshafanyiwa Vipimo....
Kuhusu kupata Work permit atapata kupitia Record alizonazo huko Genk..... Kwani ana Record zinazombeba kuweka kupata Points za kutosha kwa ajiri ya yeye kupata Work permit....

Nilimsikiliza Coach wa Aston Villa Jana akiongea baada ya Mechi Ma Brighton alisema "Wapo Karibu Sana kumaliza deal la Samatta, walijua asingeweza kucheza dhidi ya Brighton, but Wana uhakika ataanza Mechi ijayo dhidi ya Watford....

Kwa uzoefu wa wengi huko Duniani Aston Villa wanasubiri Work permit ya Samatta iwe tayari ndo WAMTAMBURISHE rasmi....!

Yeye mwenyewe haruhusiwi kusema chochote...

All In all 99.999% Samatta ni Mchezaji wa Aston Villa....
Hiyo 0.1% labda afe Leo.
 
Kinachoniuma ni kazi kubwa anayokwenda kuifanya Kama atasajiliwa. Aston Villa iko katika nafasi ya tatu toka chini. Inaelekea kwenda Championship, je Samatta amekubali kucheza ligi za chini?

Mwenyezi Mungu ambariki aende na jitihada zake na nia yake ya kucheza Uingereza iwe yenye ufanisi.
Wapo wachezaji wengi sana wanasajiliwa kutoka chini na kuja juu mfano angalia watu kama Robertson na Alexander Arnold walijasiliwa kutoka kwenye team ambazo zilishuka daraja ishu ni yy kufunga goal ndio zitamfanya abaki EPL kwani aliwezaje kufika alipofika mpaka hapa ni juhudi tu.
 
Swala sio afya kabisa kwenye medical yupo fit 100% na Aston Villa wamekubali kuna terms na condition ndogo ndogo ndio zinafanyiwa kazi soma post yangu juu [emoji115]
Nakumbuka Nabil Fekir alitakiwa auzwe Liverpool. Alikwenda kucheki afya kuna kitu kwenye afya yake kilileta mgogoro. Hakwenda Liverpool,Ilibidi abakie Lyon.
 
Inaandikwa na James Rushton tokea nchini Uingereza. Klabu ya Aston Villa inahitaji mshambuliaji na hadi sasa tetesi ni uhamisho wa dau la pauni 8.5 millioni kumpata mtanzania Mbwana Ally Samatta toka klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji limekwishakamilika.
Mshambuliaji huyu amekuwa akiishi na kufanya kazi nchini Ubelgiji tokea mwaka 2016.

Amefurahia muda wake katika soka la Ulaya tokea muda huo ila uhamisho kwenda England utamlazimu Samatta kupitia vigezo vingi ambavyo huombwa na watu wasio na pasi za Jumuiya ya Ulaya.

Kwa kuwa Tanzania haipo Jumuiya ya Ulaya Samatta itamlazimu kupata kibali cha kazi.

Samatta atapata vipi kibali cha kazi? Ofisi ya mambo ya ndani ya Uingereza huweka mfumo wa pointi na klabu husika hufanya maombi kwenye chama husika cha soka kuwasaidia kwa ofisi ya mambo ya ndani na chama cha soka cha England FA kuruhusu kibali kutolewa.

Mfumo wa pointi unamaanisha kibali cha kazi kutolewa ila hii ni kwa wachezaji ambao timu zao zinashika nafasi 10 za juu katika viwango vya FIFA. Huwezi kuiona Tanzania katika kundi hili, mara ya mwisho kwa timu hii kushika viwango vya juu vya FIFA ilikuwa ni mwaka 1995 iliposhika nafasi ya 70. Kwa sasa ni ya 134 hii ikimaanisha Samatta atahitaji kusanya pointi zaidi toka katika vipengele vingine kama ifuatavyo. LICHADI
Hapa ndo unakuja umuhimu wa duo nationality. Samatta angekuwa raia wa Ubelgiji pia,haya yasingemkuta.
 
Back
Top Bottom