Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Hapa ndo unakuja umuhimu wa duo nationality. Samatta angekuwa raia wa Ubelgiji pia,haya yasingemkuta.
Yamemkuta yepi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa ndo unakuja umuhimu wa duo nationality. Samatta angekuwa raia wa Ubelgiji pia,haya yasingemkuta.
Utafiti unaonesha karibu asilimia 70 ya watanzania ni vichaa, yan wana matatizo ya akili!
Sasa sijui wewe ulikuwepo wapi utafiti ukitoka!
Kupata permit ya kufanya kazi England inakuwa ngumu wakati angekuwa mbelgiji hahitaji permit kufanya kazi England.Yamemkuta yepi?
hapo ndipo nna mashaka maana kawaida baada ya vipimo huwa mtu anatangazwa ila mpaka sasa kimya hata shafii kule kimya kuna jambo hapaIsije kuwa afya mgogoro. Ila deal likibuma wabongo kuna kitu mtajifunza. Kuacha kushadadia vitu kabla ya kuwa imehakikishwa.
mtu anaweza akasajiliwa na kutangazwa huku akisubiria kibali chakeKupata kibali cha kazi ni mchakato mrefu.
Hope kila kitu kitakuwa sawa.hapo ndipo nna mashaka maana kawaida baada ya vipimo huwa mtu anatangazwa ila mpaka sasa kimya hata shafii kule kimya kuna jambo hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wino unamwagwa rasmi baada ya kupata kibali. Lakini wakati huo vipimo vya afya na mkataba vipo tayari kusubiri work permit.mtu anaweza akasajiliwa na kutangazwa huku akisubiria kibali chake
Sent using Jamii Forums mobile app
Kupata permit ya kufanya kazi England inakuwa ngumu wakati angekuwa mbelgiji hahitaji permit kufanya kazi England.
Nafurahisha jamvi tu
Inaandikwa na James Rushton tokea nchini Uingereza. Klabu ya Aston Villa inahitaji mshambuliaji na hadi sasa tetesi ni uhamisho wa dau la pauni 8.5 millioni kumpata mtanzania Mbwana Ally Samatta toka klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji limekwishakamilika.
Mshambuliaji huyu amekuwa akiishi na kufanya kazi nchini Ubelgiji tokea mwaka 2016.
Amefurahia muda wake katika soka la Ulaya tokea muda huo ila uhamisho kwenda England utamlazimu Samatta kupitia vigezo vingi ambavyo huombwa na watu wasio na pasi za Jumuiya ya Ulaya.
Kwa kuwa Tanzania haipo Jumuiya ya Ulaya Samatta itamlazimu kupata kibali cha kazi.
Samatta atapata vipi kibali cha kazi? Ofisi ya mambo ya ndani ya Uingereza huweka mfumo wa pointi na klabu husika hufanya maombi kwenye chama husika cha soka kuwasaidia kwa ofisi ya mambo ya ndani na chama cha soka cha England FA kuruhusu kibali kutolewa.
Mfumo wa pointi unamaanisha kibali cha kazi kutolewa ila hii ni kwa wachezaji ambao timu zao zinashika nafasi 10 za juu katika viwango vya FIFA. Huwezi kuiona Tanzania katika kundi hili, mara ya mwisho kwa timu hii kushika viwango vya juu vya FIFA ilikuwa ni mwaka 1995 iliposhika nafasi ya 70. Kwa sasa ni ya 134 hii ikimaanisha Samatta atahitaji kusanya pointi zaidi toka katika vipengele vingine kama ifuatavyo. LICHADI
Isije kuwa afya mgogoro. Ila deal likibuma wabongo kuna kitu mtajifunza. Kuacha kushadadia vitu kabla ya kuwa imehakikishwa.
Acha uchawi mkuuKwa kawaida huwa haichukui zaidi ya masaa 48 baada ya vipimo vya afya mchezaji kutambulishwa na klabu, fuatilieni sajili zote mtaona
lakini huyu ndugu yetu Samatta tokea tuskie yupo Uk akifanya vipimo vya afya tunaona kimya tu mpaka sasa, kama dili limebuma tuambiwe tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kuna watu wanaweza kwenda kwa mtalaam kuzuia mafanikio ya Samatta. Basi itakuwa ni wivu wa kipumbavu.
Hivi kuna watu wanaweza kwenda kwa mtalaam kuzuia mafanikio ya Samatta. Basi itakuwa ni wivu wa kipumbavu.
Mbona ni kawaida tu hiyo, si huwa tunashangilia tangu mashambulizi yanapoelekea golini, "anakwenda Kagere..Kagere...kwake Chama...Chama...Chama..kwake Ajibu..Ajibuuuuuuuuugooooooooooo" akikosa basi tunashika vichwa, wa kutukana anatukana maisha yanaendelea.Isije kuwa afya mgogoro. Ila deal likibuma wabongo kuna kitu mtajifunza. Kuacha kushadadia vitu kabla ya kuwa imehakikishwa.