Amekutwa na mafua hadi apone 😝😝Kwa kawaida huwa haichukui zaidi ya masaa 48 baada ya vipimo vya afya mchezaji kutambulishwa na klabu, fuatilieni sajili zote mtaona
lakini huyu ndugu yetu Samatta tokea tuskie yupo Uk akifanya vipimo vya afya tunaona kimya tu mpaka sasa, kama dili limebuma tuambiwe tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Amekutwa na mafua hadi apone [emoji13][emoji13]
Wabongo tushafanya kazi yetu ya kuroga aende England atutambie, akatae na kucheza Twiga stars hivi tu yuko Ubelgiji anaringa 😝😝
Inaandikwa na James Rushton tokea nchini Uingereza. Klabu ya Aston Villa inahitaji mshambuliaji na hadi sasa tetesi ni uhamisho wa dau la pauni 8.5 millioni kumpata mtanzania Mbwana Ally Samatta toka klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji limekwishakamilika.
Mshambuliaji huyu amekuwa akiishi na kufanya kazi nchini Ubelgiji tokea mwaka 2016.
Amefurahia muda wake katika soka la Ulaya tokea muda huo ila uhamisho kwenda England utamlazimu Samatta kupitia vigezo vingi ambavyo huombwa na watu wasio na pasi za Jumuiya ya Ulaya.
Kwa kuwa Tanzania haipo Jumuiya ya Ulaya Samatta itamlazimu kupata kibali cha kazi.
Samatta atapata vipi kibali cha kazi? Ofisi ya mambo ya ndani ya Uingereza huweka mfumo wa pointi na klabu husika hufanya maombi kwenye chama husika cha soka kuwasaidia kwa ofisi ya mambo ya ndani na chama cha soka cha England FA kuruhusu kibali kutolewa.
Mfumo wa pointi unamaanisha kibali cha kazi kutolewa ila hii ni kwa wachezaji ambao timu zao zinashika nafasi 10 za juu katika viwango vya FIFA. Huwezi kuiona Tanzania katika kundi hili, mara ya mwisho kwa timu hii kushika viwango vya juu vya FIFA ilikuwa ni mwaka 1995 iliposhika nafasi ya 70. Kwa sasa ni ya 134 hii ikimaanisha Samatta atahitaji kusanya pointi zaidi toka katika vipengele vingine kama ifuatavyo. LICHADI
Sasa akikosa hizo pointi itakaje sasa maana sisi tulikuwa tumeishajiandaa kusema hii yote ni kwa juhudi za magufuliInaandikwa na James Rushton tokea nchini Uingereza. Klabu ya Aston Villa inahitaji mshambuliaji na hadi sasa tetesi ni uhamisho wa dau la pauni 8.5 millioni kumpata mtanzania Mbwana Ally Samatta toka klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji limekwishakamilika.
Mshambuliaji huyu amekuwa akiishi na kufanya kazi nchini Ubelgiji tokea mwaka 2016.
Amefurahia muda wake katika soka la Ulaya tokea muda huo ila uhamisho kwenda England utamlazimu Samatta kupitia vigezo vingi ambavyo huombwa na watu wasio na pasi za Jumuiya ya Ulaya.
Kwa kuwa Tanzania haipo Jumuiya ya Ulaya Samatta itamlazimu kupata kibali cha kazi.
Samatta atapata vipi kibali cha kazi? Ofisi ya mambo ya ndani ya Uingereza huweka mfumo wa pointi na klabu husika hufanya maombi kwenye chama husika cha soka kuwasaidia kwa ofisi ya mambo ya ndani na chama cha soka cha England FA kuruhusu kibali kutolewa.
Mfumo wa pointi unamaanisha kibali cha kazi kutolewa ila hii ni kwa wachezaji ambao timu zao zinashika nafasi 10 za juu katika viwango vya FIFA. Huwezi kuiona Tanzania katika kundi hili, mara ya mwisho kwa timu hii kushika viwango vya juu vya FIFA ilikuwa ni mwaka 1995 iliposhika nafasi ya 70. Kwa sasa ni ya 134 hii ikimaanisha Samatta atahitaji kusanya pointi zaidi toka katika vipengele vingine kama ifuatavyo. LICHADI
Kupata kibali cha kazi ni mchakato mrefu.Kwa kawaida huwa haichukui zaidi ya masaa 48 baada ya vipimo vya afya mchezaji kutambulishwa na klabu, fuatilieni sajili zote mtaona
lakini huyu ndugu yetu Samatta tokea tuskie yupo Uk akifanya vipimo vya afya tunaona kimya tu mpaka sasa, kama dili limebuma tuambiwe tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Juma3 ndio tutajua vzr maana waingereza jumamosi na jumapili hawafanyikazi kwahiyo tamko tutapata week inayoanza kesho.Sasa akikosa hizo pointi itakaje sasa maana sisi tulikuwa tumeishajiandaa kusema hii yote ni kwa juhudi za magufuli
Wapo wachezaji wengi sana wanasajiliwa kutoka chini na kuja juu mfano angalia watu kama Robertson na Alexander Arnold walijasiliwa kutoka kwenye team ambazo zilishuka daraja ishu ni yy kufunga goal ndio zitamfanya abaki EPL kwani aliwezaje kufika alipofika mpaka hapa ni juhudi tu.Kinachoniuma ni kazi kubwa anayokwenda kuifanya Kama atasajiliwa. Aston Villa iko katika nafasi ya tatu toka chini. Inaelekea kwenda Championship, je Samatta amekubali kucheza ligi za chini?
Mwenyezi Mungu ambariki aende na jitihada zake na nia yake ya kucheza Uingereza iwe yenye ufanisi.
Swala sio afya kabisa kwenye medical yupo fit 100% na Aston Villa wamekubali kuna terms na condition ndogo ndogo ndio zinafanyiwa kazi soma post yangu juu [emoji115]Isije kuwa afya mgogoro. Ila deal likibuma wabongo kuna kitu mtajifunza. Kuacha kushadadia vitu kabla ya kuwa imehakikishwa.
Twiga Stars na Samatta wapi na wapi!!??Wabongo tushafanya kazi yetu ya kuroga aende England atutambie, akatae na kucheza Twiga stars hivi tu yuko Ubelgiji anaringa [emoji13][emoji13]
Utafiti unaonesha karibu asilimia 70 ya watanzania ni vichaa, yan wana matatizo ya akili!
Nakumbuka Nabil Fekir alitakiwa auzwe Liverpool. Alikwenda kucheki afya kuna kitu kwenye afya yake kilileta mgogoro. Hakwenda Liverpool,Ilibidi abakie Lyon.Swala sio afya kabisa kwenye medical yupo fit 100% na Aston Villa wamekubali kuna terms na condition ndogo ndogo ndio zinafanyiwa kazi soma post yangu juu [emoji115]
Hapa ndo unakuja umuhimu wa duo nationality. Samatta angekuwa raia wa Ubelgiji pia,haya yasingemkuta.Inaandikwa na James Rushton tokea nchini Uingereza. Klabu ya Aston Villa inahitaji mshambuliaji na hadi sasa tetesi ni uhamisho wa dau la pauni 8.5 millioni kumpata mtanzania Mbwana Ally Samatta toka klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji limekwishakamilika.