Kama Saudi Arabia wanasherehekea Eid Ijumaa inakuwaje BAKWATA wadai mwezi haujaonekana?

Kama Saudi Arabia wanasherehekea Eid Ijumaa inakuwaje BAKWATA wadai mwezi haujaonekana?

Kesho ijumaa kama Saud Arabia nchi ya mtume SAW hawatakula IDD basi JF wanipige ban ya masaa 24.

Hizi dini ni za magumashi amkeni.

View attachment 2594651

Cc: Kiranga
Waarabu wasaudia wanakawaida ya kujikweza na kujiona wao ndio watajatifu sana...

Nakumbuka miaka ya nyuma niliwahi enda Umrah na ilikuwa kipindi cha Ramadhan na ilikuwa Eid imekaribia,

Basi Watu wa Yemen wakasema wameuona wao mwezi na kesho iswalie swala ya Eid ila cha kushangaza ni kuwa Watu wa Saudia wakakataa wakasema...
.
"Ohh sisi tuna Kaabah na sisi ndio tunaoswali kuiangalia Qibla kwa upande zote wakati wa yemen wanaitazama kwa upande wa kushoto + sisi ndio tupo katika mji mtakatifu ... haiwezekani wao ndio wawe wa kwanza kuuona mwezi kabla yetu sisi".
.
Hivyo basi wazee, wa kafunga siku inayofuata na kuswali siku ifuatayo.
.
So hawa waarabu wajionao watakatifu kumbe nao ni wajinga kabisa ...
.
Na for the fact ya ishu ya juzi kisingizio chao ni kuwa Mwezi wa Shaaban uliisha na siku 30 hivyo Mwezi wa Ramadhan unatakiwa uishe na siku 29 ila cha kushangaza ni kuwa kalenda ya kiislamu inasema Ramadhan itakuwa na siku 30 na sio 29.
.
So, wale waarabu wapuuzi wakapindua meza na kulazimisha eid iwe ndani ya ramadhan kitu amabacho ni makosa kabisa.
.
Na for the fact, ya kutoka kwa maulamaa wote wa dini ya kiislamu toka zama za maswahaba walikuwa wakihitilafiana katika swala la mwezi, hivyo walikuja kukubaliana kuwa watu wafunge na wafungue katika mwezi wa nchi yao na sio wa nchi nyengine.
.
Na, fact hii ndio imekuwa ikifuatwa na BAKWATA kwa miaka mingi, so sisi watanzania tunafunga kutokana na mwezi wa kwetu na sio wa nchi zengine, so zipo ambazo siku tunajikutana tumefunga sawa na kufungua sawa.
.
Ila huu, utofauti unatokana na matashi ya kibinadamu na sio Elimu au Uelewa wa dini, kwani watu wakiielewa vyema dini hii, hakika hakutakuwa na huu Upuuzi usio na maana yeyote kabisa.
 
Back
Top Bottom