MLUGURU
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 2,929
- 3,710
Hii nchi bwana Mzee Magu alishatuonyesha njia kuwa inawezekana sasa tuamue tuwape nchi viongozi wenye maono wapo na wanaonekana pia hao wajanja wajanja msiache kuwapigia mayowe watasikia aibu watakaa pembeni mbona pole pole kawazodoa kataa wahuni kataa wahuni kuna muda unafika na wenyewe wanajisikia aibu wanakaa chonjoo ila mkiwaonea aibu huko juu sisi huku chini hatuna cha kufanya tunaishia kuwa keyboard warriors tu.