Hujui kama hujui. Vyombo vya dola ndiyo vimetoa hiyo ripoti siyo mimi. Kama Bashe na Kinana siyo raia nenda Uhamiaji karipotiKwani Kikwete hakujua kuwa huyu si Mtanzania hadi wakampa cheo akampeleka kwenye maswala ya uchumi na baadaye Waziri wa fedha?
Vipi Bashe ni Mtanzania?
Vipi Kinana ni Mtanzania?
Wewe ndie unamjaza upepo mzee moh'd said aje na stori zake za mfumo kristo, na mambo ya kanisa huku kichangani, mtoro, idrisa na manyema.Wanabodi
Kwa kawaida siku za Ijumaa na Jumamosi ndio huwa nakaa viti virefu, Jumapili ni family day, huwa sikai viti virefu nakaa viti vya chini na mwendo sio wa Joni Mtembezi ni mwendo wa Harusi ya Kana!.
Jumapili ya leo, niko zangu viti vya chini, usawa wa Harusi ya Kana, tena ile ya Altareni, amekuja mtu, sina uhakika kama ni wa 'kulee!', akanitamkia "Mpango ndio mpango mzima"!.
Hivyo kama HII sauti ni sauti ya kweli , then Mpango ndio mpango mzima!. Swali ni.. kwanini akiwa Mkristo, ni lazima awe Mkatoliki?!.
Ufafanuzi zaidi ni Juliasi alikuwa Mkatoliki, Benyamini alikuwa Mkatoliki, na Yohana Yosefu pia alikuwa Mkatoliki!, jee imejitokea tuu by chance of a mere coincidence au akiwa Mkristo ni lazima awe Mkatoliki?.
Kama sauti HII ni kweli, then anayefuata sio Dr. Huseni!, ni Fillipo!. Kwa vile huyu pia ni Mkatoliki, hivyo nauliza tena na tena, kwani akiwa Mkristo ni lazima awe Mkatoliki?, why?.
Jumapili Njema
Paskali.
he is good kwenye uchumiUmeanza tena!!
Mpango akiingia tutalimia meno!
Jamaa ni hatari sana kwenye kubana fedha na uchumi!
Wanabodi,
Kwa kawaida siku za Ijumaa na Jumamosi ndio huwa nakaa viti virefu, Jumapili ni family day, huwa sikai viti virefu nakaa viti vya chini na mwendo sio wa Joni Mtembezi ni mwendo wa Harusi ya Kana!
Jumapili ya leo, niko zangu viti vya chini, usawa wa Harusi ya Kana, tena ile ya Altareni, amekuja mtu, sina uhakika kama ni wa 'kulee!', akanitamkia "Mpango ndio mpango mzima"!
Hivyo kama HII sauti ni sauti ya kweli , then Mpango ndio mpango mzima!. Swali ni.. kwanini akiwa Mkristo, ni lazima awe Mkatoliki?
Ufafanuzi zaidi ni Juliasi alikuwa Mkatoliki, Benyamini alikuwa Mkatoliki, na Yohana Yosefu pia alikuwa Mkatoliki!, jee imejitokea tuu by chance of a mere coincidence au akiwa Mkristo ni lazima awe Mkatoliki?
Kama sauti HII ni kweli, then anayefuata sio Dr. Huseni!, ni Fillipo! Kwa vile huyu pia ni Mkatoliki, hivyo nauliza tena na tena, kwani akiwa Mkristo ni lazima awe Mkatoliki? Why?
Jumapili Njema
Paskali.
Duh...!. Kwa uamuzi huu, ina maana HII sauti nilioisikia sio sauti yake YEYE bali ni sauti ya yeye!.Cha Mapinduzi (CCM) kimemteua rasmi Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wa urais kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.
Ujumbe huu usipuuzwe.!!Duh...!. Kwa uamuzi huu, ina maana HII sauti nilioisikia sio sauti yake YEYE bali ni sauti ya yeye!.
Angalizo: Kama sauti HII
ni yake YEYE mwenyewe halisi na mhusika ameambiwa ila akatia pamba masikioni, kujifanya hajasikia, then kati ya 2025 na 2030, YEYE mwenyewe atasema nasi!.
Kazi iendelee!.
Hii maana yake ni Dr. Nchimbi na ni Mkatoliki!.
P
Umezidi broDuh...!. Kwa uamuzi huu, ina maana HII sauti nilioisikia sio sauti yake YEYE bali ni sauti ya yeye!.
Angalizo: Kama sauti HII
ni yake YEYE mwenyewe halisi na mhusika ameambiwa ila akatia pamba masikioni, kujifanya hajasikia, then kati ya 2025 na 2030, YEYE mwenyewe atasema nasi!.
Kazi iendelee!.
Hii maana yake ni Dr. Nchimbi na ni Mkatoliki!.
P
Pascal Mayalla rudi kwenye post yangu hii. Issue ya Makamu kuomba kutoendelea sababu ni hizo hapo juu.Ni Mrundi. Na hapo alipofika ndiyo mwisho. Rejea kauli ya CDF mwezi Januari 2024
View attachment 3068376
The end justifies the means!,Ni Mrundi. Na hapo alipofika ndiyo mwisho.
Akiwa mkiristo na asiwe mkataa iliki,basi ujue lile baraza la wakataa iliki,lilojaa wanasiafu uchwara wanaokatibiwa na yule sirikofu mwenye watoto wengi watazusha mbungiWanabodi,
Kwa kawaida siku za Ijumaa na Jumamosi ndio huwa nakaa viti virefu, Jumapili ni family day, huwa sikai viti virefu nakaa viti vya chini na mwendo sio wa Joni Mtembezi ni mwendo wa Harusi ya Kana!
Jumapili ya leo, niko zangu viti vya chini, usawa wa Harusi ya Kana, tena ile ya Altareni, amekuja mtu, sina uhakika kama ni wa 'kulee!', akanitamkia "Mpango ndio mpango mzima"!
Hivyo kama HII sauti ni sauti ya kweli , then Mpango ndio mpango mzima!. Swali ni.. kwanini akiwa Mkristo, ni lazima awe Mkatoliki?
Ufafanuzi zaidi ni Juliasi alikuwa Mkatoliki, Benyamini alikuwa Mkatoliki, na Yohana Yosefu pia alikuwa Mkatoliki!, jee imejitokea tuu by chance of a mere coincidence au akiwa Mkristo ni lazima awe Mkatoliki?
Kama sauti HII ni kweli, then anayefuata sio Dr. Huseni!, ni Fillipo! Kwa vile huyu pia ni Mkatoliki, hivyo nauliza tena na tena, kwani akiwa Mkristo ni lazima awe Mkatoliki? Why?
Jumapili Njema
Paskali.
Acha mikwara...Duh...!. Kwa uamuzi huu, ina maana HII sauti nilioisikia sio sauti yake YEYE bali ni sauti ya yeye!.
Angalizo: Kama sauti HII
ni yake YEYE mwenyewe halisi na mhusika ameambiwa ila akatia pamba masikioni, kujifanya hajasikia, then kati ya 2025 na 2030, YEYE mwenyewe atasema nasi!.
Kazi iendelee!.
Hii maana yake ni Dr. Nchimbi na ni Mkatoliki!.
P
Mkuu Paskali, Sauti ulioisikia hukukosea ni YEYE. It is not over.Duh...!. Kwa uamuzi huu, ina maana HII sauti nilioisikia sio sauti yake YEYE bali ni sauti ya yeye!.
Angalizo: Kama sauti HII
ni yake YEYE mwenyewe halisi na mhusika ameambiwa ila akatia pamba masikioni, kujifanya hajasikia, then kati ya 2025 na 2030, YEYE mwenyewe atasema nasi!.
Kazi iendelee!.
Hii maana yake ni Dr. Nchimbi na ni Mkatoliki!.
P
Wamemla kichwa dadeeeeeeeeeeeekiKama sauti HII ni kweli, then anayefuata sio Dr. Huseni!, ni Fillipo! Kwa vile huyu pia ni Mkatoliki, hivyo nauliza tena na tena, kwani akiwa Mkristo ni lazima awe Mkatoliki? Why?
Yule Mzee alivyo smart plus misimamo ya ki RC ilikuaMkuu Fabo, Fabolous, asante sana kwa maneno ya faraja sana haya, kama ni sauti yake YEYE, then HE is never wrong!.
It is not over until it is over!.
P
Yule Mzee alivyo smart plus misimamo ya ki RC ilikua ngumu sana kufanya KAZI na such terrible people.Mkuu Fabo, Fabolous, asante sana kwa maneno ya faraja sana haya, kama ni sauti yake YEYE, then HE is never wrong!.
It is not over until it is over!.
P
Umeona eeh...!. Niliwahi kuuliza Could there be a problem with our vetting systems? These hirings and firings hazitaonekana kama signs za incompetence on part of appointing authority? na nikauliza tena Hizi pangua pangua za Rais Samia kwa wateule wake kila uchao zote zina maslahi kwa taifa au kuna flip-flops?By the way, Suluhu ndio kiongozi wa Kwanza recently Seniors wake wawili "kujiuzulu" Ndani ya kipindi cha miezi 12. Lazima kuna TATIZO mahali
Kwa nn kila mara huwa baadhi ya watu mnahusisha viongozi wa juu na uraia wao? Wakati wa nyerere wapo waliosema sio mtanzania kwa story nyingiPascal Mayalla rudi kwenye post yangu hii. Issue ya Makamu kuomba kutoendelea sababu ni hizo hapo juu.