Kama sekta binafsi haitafufuliwa watanzania waandike maumivu

Kama sekta binafsi haitafufuliwa watanzania waandike maumivu

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Miaka mitano ya Hayati Magufuli sekta binafsi imekufa. Wakandarasi wamekauka mifuko. Wenye maduka, super market, mama ntilie wapo hoi bin taabani.

Sekta ya ujenzi iliuliwa na Forced account. Mama ntilie walikosa wateja sababu mzunguko wa pesa ulizizi. Purchasing power ilishuka wenye baa walikiona cha moto. Vijana walieudi kula viroba na pombe kali, wengi walikufa au kuugua.

Hii Serikali ya Mama Samia kama haitaionea huruma sekta binafsi basi itambulike wazi kuwa hali itazidi kuwa mbaya zaidi.

Jicho la karibu lenye busara linatakiwa kuinua sekta binafsi.
 
Back
Top Bottom