Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasubiri vita hapa!!!!!
Ina maana walimu na wanafunzi wa kiisilamu kichwani hamna kitu? :biggrin1:Issue si sheria kali,bali ubora wa inputs[walimu,wanafunzi na miundombinu].
Nadhani hapa ndipo seminari za kikristo zimewapiku muslims.
Ina maana walimu na wanafunzi wa kiisilamu kichwani hamna kitu? :biggrin1:
wanajamvi matokeo ya sec za seminari(za katoliki) zinafanya vzr sbb n kanuni na sheria kali. vp shule za kiislamu kunani
kwa nini TZ especially Dar matajiri wakubwa ni hata hawajosoma hizo seminari za kikatoliki?,kwa nini waliomsapoti nyerere kudai uhuru ni hao hao wasiosoma seminari za kikatoliki?,kwa nini miji ya awali kuwa na maendeleo Tanzania eg.Bagamoyo,Tanga,Dar na Zanzibar ni ile yenye idadi ndogo ya waliosoma seminari za kikatoliki?...................fikiria mara kumi elimu yako inakusaidia nini,wakati wewe umesoma mpaka form six huko seminari na kupata AAA huku ukiishiwa kuajiriwa kwenye makampuni ya watu,wenzako walioishia madrasa unayoidharau wanazidi tu kufungua fremu nyingine na kuongeza safari za kwenda Dubai kufuata mzigo