Kama seminari kigezo ni kanuni na sheria kali, mbona shule za kiislamu sufuri.

majosa jr

Member
Joined
Feb 23, 2014
Posts
58
Reaction score
14
wanajamvi matokeo ya sec za seminari(za katoliki) zinafanya vzr sbb n kanuni na sheria kali. vp shule za kiislamu kunani
 
ngoja nikuitie graduate wa kinondoni muslim...
Ritz
 
Last edited by a moderator:
Eng-education,kisw-elimu,-kiarabu-ilmu na wala si ILIMU acheni chuki za kijingajinga hzo nduguzanguni
 
Issue si sheria kali,bali ubora wa inputs[walimu,wanafunzi na miundombinu].
Nadhani hapa ndipo seminari za kikristo zimewapiku muslims.
 
hizi thread za kifala....kuna vitu vya msingi vya kujadili..than kuwaingiza watu kilazima kwenye mijadala itakayoamsha ubishani na chuki za kidini....
you sucks majosa jr dick head
 
Last edited by a moderator:
Issue si sheria kali,bali ubora wa inputs[walimu,wanafunzi na miundombinu].
Nadhani hapa ndipo seminari za kikristo zimewapiku muslims.
Ina maana walimu na wanafunzi wa kiisilamu kichwani hamna kitu? :biggrin1:
 
wanajamvi matokeo ya sec za seminari(za katoliki) zinafanya vzr sbb n kanuni na sheria kali. vp shule za kiislamu kunani

Nawachukia sana watu wenye udini. Nitaanza kuwapunguza kwenye jamii kwa njia yoyote ile. Kua makini tusikutane. Sitajali dini atokayo, rangi wala kabila.
 
kwa nini TZ especially Dar matajiri wakubwa ni hata hawajosoma hizo seminari za kikatoliki?,kwa nini waliomsapoti nyerere kudai uhuru ni hao hao wasiosoma seminari za kikatoliki?,kwa nini miji ya awali kuwa na maendeleo Tanzania eg.Bagamoyo,Tanga,Dar na Zanzibar ni ile yenye idadi ndogo ya waliosoma seminari za kikatoliki?...................fikiria mara kumi elimu yako inakusaidia nini,wakati wewe umesoma mpaka form six huko seminari na kupata AAA huku ukiishiwa kuajiriwa kwenye makampuni ya watu,wenzako walioishia madrasa unayoidharau wanazidi tu kufungua fremu nyingine na kuongeza safari za kwenda Dubai kufuata mzigo
 
Good comment!!
 
Back
Top Bottom