kwa nini TZ especially Dar matajiri wakubwa ni hata hawajosoma hizo seminari za kikatoliki?,kwa nini waliomsapoti nyerere kudai uhuru ni hao hao wasiosoma seminari za kikatoliki?,kwa nini miji ya awali kuwa na maendeleo Tanzania eg.Bagamoyo,Tanga,Dar na Zanzibar ni ile yenye idadi ndogo ya waliosoma seminari za kikatoliki?...................fikiria mara kumi elimu yako inakusaidia nini,wakati wewe umesoma mpaka form six huko seminari na kupata AAA huku ukiishiwa kuajiriwa kwenye makampuni ya watu,wenzako walioishia madrasa unayoidharau wanazidi tu kufungua fremu nyingine na kuongeza safari za kwenda Dubai kufuata mzigo