Kama seminari kigezo ni kanuni na sheria kali, mbona shule za kiislamu sufuri.

Nawachukia sana watu wenye udini. Nitaanza kuwapunguza kwenye jamii kwa njia yoyote ile. Kua makini tusikutane. Sitajali dini atokayo, rangi wala kabila.

Hata na mimi nawachukia kabisa, nani kamwambia kuwa wasilamu wana seminari? Wao wana madrasa bwana.
 

Nadhani sababu kubwa ni hiyo kuwa elimu sio ya muhimu
 
ah kumbe bado ni member tu hatuwezi kushaangaa
 
Shule za kiislam takbiiil nyingi mno ndio mana.
 
wanajamvi matokeo ya sec za seminari(za katoliki) zinafanya vzr sbb n kanuni na sheria kali. vp shule za kiislamu kunani

NI KWA SABABU YA MOMMERANDUM OF UNDERSTANDING. isome hiyo utaona jibu la wazi
 
Mtu yeyote mwenye udini ujue either maskini wa mali au maskini wa fikra yaan empty headed huwez kukalisha makalio na kuanza kuisema dini isiyo yako lazima utakua na tatizo kichwani tuweni na busara hata km c halisi bac hata ya kuigiza inatosha......kuna vitu ambavyo ctoweza kusuport hata kama upo upande wangu by the way hyo elimu yako seminar za kkatolik haijakufuta ujinga bora yetu tuloxoma kata tunajua kuishi na watu tofauti na wenye itikad tofauti. Muanzisha mada rudi darasani....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…