sanalii
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,743
- 6,240
Kam wamezuia maana yake hawataki watu wa access, sasa taasisi za serikali zinapo tweet taarifa kwa uma zinalenga nani azione? Au account ya Rais inapo tweet?
Pia soma >www.jamiiforums.com/threads/bila-vpn-hauwezi-kuingia-x-twitter-tanzania-vipi-huko-mnaotumia-fb-na-insta.2341705/
Kama wao wameona ni sehemu muhimu ya public release, why targeted audience wazuiwe?
Kwanini serikali inawachezesha shele raia? Kuna matiki na sababu gani ya maingi ya kufanya hivi? Je ikifika hiyo Oktoba si ndo itakuwa shida kabisa?
THIS IS NOT FAIR. NOT EVERYONE IS THERE FOR POLITICS.