sanalii JF-Expert Member Joined Oct 1, 2018 Posts 1,743 Reaction score 6,240 May 21, 2025 #1 Kam wamezuia maana yake hawataki watu wa access, sasa taasisi za serikali zinapo tweet taarifa kwa uma zinalenga nani azione? Au account ya Rais inapo tweet? Pia soma >www.jamiiforums.com/threads/bila-vpn-hauwezi-kuingia-x-twitter-tanzania-vipi-huko-mnaotumia-fb-na-insta.2341705/ Kama wao wameona ni sehemu muhimu ya public release, why targeted audience wazuiwe? Kwanini serikali inawachezesha shele raia? Kuna matiki na sababu gani ya maingi ya kufanya hivi? Je ikifika hiyo Oktoba si ndo itakuwa shida kabisa? THIS IS NOT FAIR. NOT EVERYONE IS THERE FOR POLITICS.
Kam wamezuia maana yake hawataki watu wa access, sasa taasisi za serikali zinapo tweet taarifa kwa uma zinalenga nani azione? Au account ya Rais inapo tweet? Pia soma >www.jamiiforums.com/threads/bila-vpn-hauwezi-kuingia-x-twitter-tanzania-vipi-huko-mnaotumia-fb-na-insta.2341705/ Kama wao wameona ni sehemu muhimu ya public release, why targeted audience wazuiwe? Kwanini serikali inawachezesha shele raia? Kuna matiki na sababu gani ya maingi ya kufanya hivi? Je ikifika hiyo Oktoba si ndo itakuwa shida kabisa? THIS IS NOT FAIR. NOT EVERYONE IS THERE FOR POLITICS.
R Risen man JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 20,205 Reaction score 54,699 May 21, 2025 #2 Wanatumia VPN
sanalii JF-Expert Member Joined Oct 1, 2018 Posts 1,743 Reaction score 6,240 May 21, 2025 Thread starter #3 Shing Yui said: Wanatumia VPN Click to expand... Suala sio wanaingia vipi, wao wanamlenga nani?
Bird Watcher JF-Expert Member Joined Aug 19, 2013 Posts 4,614 Reaction score 9,689 May 21, 2025 #4 Hao wamiliki wa izo Account hawako Aware kabisa, VPN zipo strictly Prohibited
G Gulwa JF-Expert Member Joined Jun 16, 2008 Posts 11,200 Reaction score 17,670 May 21, 2025 #5 Ufisadi mkubwa alioufichua Mange jana unaohusisha viongozi wakuu na taasisi nyeti imewashtua sana ila wamechelewa sana
Ufisadi mkubwa alioufichua Mange jana unaohusisha viongozi wakuu na taasisi nyeti imewashtua sana ila wamechelewa sana