K Kamundu Platinum Member Joined Nov 22, 2006 Posts 9,780 Reaction score 15,488 May 19, 2025 #1 Kuna ambao hapa wanasema kila siku tunataka nchi ya amani na kufuata sheria sasa je watekaji wanafuata sheria Kama serikali inafuata sheria na katiba kwanini Polisi na usalama wanateka watu? hiyo ya juzi View: https://youtu.be/kIxFCHt9t1A?si=bxFkzJxgjLraKtI7
Kuna ambao hapa wanasema kila siku tunataka nchi ya amani na kufuata sheria sasa je watekaji wanafuata sheria Kama serikali inafuata sheria na katiba kwanini Polisi na usalama wanateka watu? hiyo ya juzi View: https://youtu.be/kIxFCHt9t1A?si=bxFkzJxgjLraKtI7
Tindo Platinum Member Joined Sep 28, 2011 Posts 72,020 Reaction score 129,293 Aug 25, 2025 #2 Kuna sheria kabisa ilitungwa na bunge hili kibogoyo ya kuruhusu hayo mambo ya utekaji.
The Palm Beach JF-Expert Member Joined Dec 30, 2015 Posts 4,249 Reaction score 11,592 Aug 26, 2025 #3 View: https://youtu.be/7ra152_-8FE?si=j5d-qDmUzEqymKHJ
Ushimen Platinum Member Joined Oct 24, 2012 Posts 44,788 Reaction score 113,025 Aug 26, 2025 #4 Deni la taifa limefika 107 trillions mkuu
Sir mgax JF-Expert Member Joined Dec 10, 2023 Posts 2,160 Reaction score 3,831 Aug 26, 2025 #5 Ushimen said: Deni la taifa limefika 107 trillions mkuu Click to expand... Imeongezeka1