mdeki JF-Expert Member Joined Mar 28, 2011 Posts 3,299 Reaction score 475 Jul 22, 2013 #1 Wakuu habari zenu, bila shaka mnajua kuwa serikali iliahidi kupunguza kodi kwa wafanyakazi, ingawa ni kidogo ningependa kujua CWT wao wanampango kama huo? Au ndio wanazidi kuwanyonya walimu?
Wakuu habari zenu, bila shaka mnajua kuwa serikali iliahidi kupunguza kodi kwa wafanyakazi, ingawa ni kidogo ningependa kujua CWT wao wanampango kama huo? Au ndio wanazidi kuwanyonya walimu?