Kama Serikali ya Tanzania haina dini, Mungu anayetajwa katika wimbo wa taifa ni yupi?

Mimi nachojiuliza tokea walipoanza kugeuza ofis za umma kuwa dayosisi na vigango hawajatosheka tuh?

Maana hakuna cha maana wanachofanya zaid ya kuiba pesa za umma na kuzipeleka kwenye sadaka huku wakiungama dhambi zao

Bure kabisa hawa jamaa
 
Ha ha ha,kwahiyo watafuna kitimoto mmeamua kupora madaraka yote eeh?
 
Zile nyumba za tope pale Mtwara katikati ya mji ni chuki za Serikali?? Mbona wakristo kule Shangani wanaishi vizuri tu, wao wamependelewa na serikali??? Kama shule hamna unategemea nini?? Mbona hao wachache wanaotoka huko wakifaulu wanafika mbali tu?? Nina rafiki yangu Mmakonde tena mwislamu leo hii ni Rubani huko Ulaya..
 

Hujanielewa..Rudia kunisoma tena

Tunamsaidia na Tutamsaidia Rais kuirudisha nchi katika misingi

Kama uliiba hautaachwa kwa sababu wewe ni mkristo au ni muislamu

Kama ni kupewa majukumu ya kazi katika serikali hautapewa kwa sababu wewe ni mkristo au ni muislam

Again read between the lines
 
Naogopa sana matokeo ya haya mambo yanayojengwa miongoni mwa watu.UDINI,UKABILA NI SUMU.
 
tumekusikia baba paroko
 
Ha ha ha

Mimi nakuambia hawa jamaa ni bure kabisa

Hakuna kitu kichwan yan

Hao wanaojiita wasomi usomi wao vyeti wanafoji na ukiwakuta wenye vyeti kama Andrew chenge Au Tibaijuka au Muhongo basi lazima yawe ni majiziii...

Hawana maana hawa

Hawa ndyo chanzo cha umaskin wa taifa hili.
Shule aitoe wapi huyo,asilimia 70% ya wanajiita wasomi wamefoji vyeti.Cheti kimoja kimetumiwa na watu 10 tofauti kuomba kazi.NIDA wamegundua katika kutoa vitambulisho jina moja lina appear mara 10 kwa watu tofauti.
 
Maneno makali sana haya,ila nmekuelewa mkuu.
 
Ha ha ha,kwahiyo watafuna kitimoto mmeamua kupora madaraka yote eeh?

Ha ha ha

Mimi naona dawa ni kuwasusia nchi hii yoote waongoze wao tuuuh

Tuone mwsho wake ni nin

Kwanza mimi sion tofauti yeyote

Nchi hii ni kama wanaongoza wao na hakuna kinachofanyika zaid ya wizi na ufisadi

Ukiona Rais muislam kakaaa madarakan basi ujue yupo kama geresha tuh

Nchi bado huongozwa na hawa hawa waimba kwaya

Hakuna wanachofanya zaid zaid ya wizi na ufisadi
 

Hivi mkuu hebu jaribu kujitafakari mtu kama wewe ukipewa ofisi ya Umaa...si itakuwa majanga

Muwe mnajiangalia jamani na nyie mkoje...sio kulalamika tu
 
Hao unaowalaumu leo uliwasheherekea na kuwapigia kampeni.
 
Serikali kama haina dini, kwa nini wimbo wa taifa unamtaja mungu?

Wakati kuna Watanzania wengine hatuamini katika kuwapo kwa mungu?
KUMWAMINI MUNGU SI LAZIMA UWE NA DINI
 
Majumuisho ya nini..Nchi hii sio kanisa wala msikiti

Sasa kama nchi hii siyo ya kanisa wala msikiti kwanin huko serikalin mjaze watoto wa maparoko tuuh kama kuna kipaimara au mnafungua dayosis?
 
Saa hizi ndo mda wa kufanyia renovation makanisa yetu,na kujenga mahospitali zaidi,nyinyi si bahati mliichezea,ngoja sasa wataalamu tufanye yetu......ha ha ha ha mbavu zangu jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…