nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 12,106
- 12,916
Allah na Yahweh ni wa Mashariki ya KatiKama ni wengi ni Miungu, si Mungu.
Jifunze Kiswahili kabla ya kurukia habari za Mungu.
Hujathibitisha kwamba Mungu yeyote yupo.
Kama kuna Miungu wengi, anayetajwa na serikali ni yupi?
Allah au Yahweh?
Na serikali isiyo na dini ikimtaja Mungu katika kazi zake wakati kuna raia hawaamini uwepo wa Mungu haijawatenga hao raia kidini?
Ikiwatenga hao raia kidini bado haina dini?
Kwa nchi hii wapo zaidi ya hao. Mfano Inguluvi,Kyara,Ruwa n.k.