Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,204
Hivi km hawa jamaa wanaandika intellectual paper and books,wakiwa na fikra za riwaya..yaani wanaaandika km wanaandika riwaya tuu.Hembu fikiria km Mwakyembe.Halafu wakati umepita anakuja amua sema kuwa ilikuwa nikuchukulia cheti tuu...cha kujiuliza ni kwamba: Km aliamini kuwa serikali 3 ndio kitu kingempa PHD na alicho claim chini kuwa alichoandika ni kazi ya akili,juhudi, utafiri wake na maarifa yake na kweli tuu,inakuweje leo anasema kuwa serikali 2 ndio nzuri bila fanya tafiri nyingine wala kukana ile ya mwanzo ?Km alidanganya kwa makusudi then anatuweka mahali pa kumtaka arudishe PHD kwa vile alidanganya.Pia km alidanganya tutaamini vipi kuwa pia mengine katudanganya na tutaamini vipi kwamba bado hajaacha uongo wake?Km alikuwa anaandika riwaya na hadith km za shigongo ktk mambo ya kisomi ni hatari sana, na kutulazimisha tuandike ktiba km riwaya ni dhambi nyingine..na hili namwambia hata ....sasa tunafahamu kwanini UDSM ni chuo cha mwisho.